Kikwete: Lowassa ni jembe

Kikwete: Lowassa ni jembe

ndie mgombea wa ccm 2015! lazma amsifie!
 
Kwani akijiudhuru (neno sahihi siyo kujiuzulu), anakuwa siyo mstaafu? unajuwa maana ya kujiudhuru au unakurupuka tu?

Nna uhakia hujui maana ya "kujiudhuru" wala "kustaafu". Mtafute Mwalim wako wa Kiswahili aje hapa tumpe darsa halafu aje kukufunda.
Mheshimiwa tafuta kamusi tu wala si mwalimu wa kiswahili. Neno sahihi ni "kujiuzulu". Rudia kwa herufi kubwa: KUJIUZULU.
 
wadau, salaam!

baada ya salam,naomba kuwakumbusha kauli moja aliyoitoa kikwete wakat akimnadi edward lowasa jimbon monduli,! almshka lowasa mkn na kumnyanyua juu huku akimwita,jembe! mpen kura!
kwa kaul hyo ccm wote wamesahau kuwa mwnykt wao alimsafsha lowasa kuwa si fisadi ni jembe?

1.kaul hyo inamaanisha kuwa lowasa hana ufisad wowote,na ni msaf,ndo maana hajashtakiwa

2.ccm mmesahau juz tu kikwete akiaga bunge,alpomtaja tu lowasa,wabunge wa ccm a.k.a wapga meza walimshangilia fisad lowasa?

3,hvi nyie maccm mnakumbuka juz alpokatwa tu fisad lowasa,mliimba kwny mktn wen wkt kikwet akiingia mksema,bdo mna iman na lowasa?

3.ok,hv mnakumbuka kuwa hata mliemwita fisad tena wakuvuliwa gamba ANDREW CHENGE, mlimpa mwnykt wa mojawapo ya kamati za bunge?

4.hv mnajua kuwa hata ROSTAM AZIZ bdo anadunda na hamjawah kumstak?
kwa maelezo hayo,nan anaisifia ccm? nan anamzuia lowasa kuhama ccm et kwa kuwa ni fisad wakat rais wake alimsifia? tena kikwete bngen juz alcma,'ulfanya kaz nzr wkt ukiwa rais!
 
Binadamu yeyote akishakuwa mwana CCM pamoja na kuwa na uwezo wa kuvaa nguo; taratiibu anajitoa ufahamu na kubadilika kuwa kiumbe wa ajabu sana...!!
 
asante mkuu ulieunganisha hbar hz na ya gazeti,ila kdogo mwandish kadanganya,'kikwete almshka kbsa lowasa mkn akamnyanyua juu,akimwita ni jembe! lowasa alikuwepo!
 
Na litawakata kata mwaka huu, sio mbali bado miezi 2 tu...!!!
 
Mtoa mada inaonesha uwelewa wako kisiasa ni mdogo sana, ivi pale bungeni huoni kama ilitumika siasa kumtaja lowasa kuonesha kwamba jk Hana chuki na mamvi?

Pia hujaona jinsi alivomuelezea pinda na lowasa ilikua ni tofaut? Alitumia sentensi zaid ya 5 kumuelezea pinda wakat EL alitumia sentensi hiyo moja.

Pia katika uchaguzi 2010 alimuita jembe ili kuleta umoja pale monduli na ili Aweze kupata ushundi

Hajashitakiwa sababu selikari ya CCM ni ya kulindana, maana Kama angeshitakiwa lowasa bas nae ipo siku Yey jk na familia yake ingeingia mahakamani.

Lakini ukweli ni kwamba lowasa ni fisadi na anataka uongoz kwa manufaa yake binafsi na sio kwa maslah ya taifa.
 
Back
Top Bottom