amechakachua hili swali la barabara.... ni kasheshe tu!!! 10min stammering on roads, kuna barabara inaanzia morocco na kuelekea huko..
barabara inaanzia sayansi na kuelekea kulekulekuleleeee.... na ubongo kwenda barabara ya magomeni na ya morocco an,....na ...na ... ya ilala eh... I CANT FOLLOW MY PRESIDAA
Ulizeni daraja la kigamboni...