Nilimfuatilia kwenye world economic forum pale mliman city, Mhhh alikuwa mweupe sana. HIzi hotuba za kusoma kila kitu bila hata kuwa na 5min za kuongea bila karatasi, zinanitia mashaka.
Mnakumbuka OBAMA alivyotema innaugural speech baada ya kuapishwa? anashuka bila hata kipande cha notebook.Nauliza Kuna mtu aliyewahi kumwona ktk kipindi cha STRAIGHT TALK AFRICA cha Shaka Salli atujuze? Maana nasikia alishawahi kuhojiwa.