Umeuliza maswali ya msingi. Lakini, just for a moment (and hypothetically speaking), hebu jaribu kujiweka kwenye nafasi ya Rais wa Jamhuri. Jee, wewe binafsi ungechukua hatua gani kuondoa tatizo hili kwenye mfumo mbovu uliyojaa rushwa na madudu kibao kwenye vyombo vyote kuanzia serikali, state, law enforcemenent na mfumo wa mahakama? Jee, inawezekana kwamba mtu mmoja angeweza kusafisha mapungufu na mabaya yote kwenye mfumo potofu, uliokithiri na ambao yeye mwenyewe anautegemea kudhihirisha dhana nzima ya madaraka yake bila ya mapinduzi ya kweli?
Unga upi Mkuu, wa ngano, wa sembe, wa mtama, wa muhogo?........................
Unga upi Mkuu, wa ngano, wa sembe, wa mtama, wa muhogo?........................
[h=3][/h]
Kuna imani kuwa viongozi wetu wa juu wanashiriki au kushirikiana na wauza unga. Ndiyo maana wahusika hawakamatwi kwa vile wanaopaswa kuwakamata ndiyo wale wale wanufaika na jinai hii. Rais aliwahi kutuahidi kuwa angewashughulikia wauza unga na alisema kuwa orodha yao alikuwa nayo. Miaka inazidi kuyoyoma. Je rais atatimiza lini ahadi yake? Kwa habari zaidiBONYEZA hapa.
Wapi ile kesi ya kontena la cocaine imeshia. Binti wa liyumba.
Kinara wa biashara ya madawa ya kulevya ni riziwani. Pia msifikili JK hajui nini kinachoendelea. Kwa hiyo haiwezekani mtu anieleze kuwa JK hayuko connected kwenye hii biashara. Kama kweli angekuwa na nia ya dhati na yeye asingekuwa muhusika, angeitokomeza kabisa hii biashara...
Nasikia mzigo aliokuwa amekamatwa nao Matonya huko China ulikuwa wa Baba Mwanaasha.
Pia familia ya kwanza ndio iliyo mnusuru Matonya na kifo cha kunyongwa
Bila shaka ni unga mweupe wa kulewesha.
Kwaiyo izo drug zilizo shindikana America ,Mexico,Kenya,na kwingineko duniani ni marais wanamshirikiana na watoto wao kufanya izo biashara Ndio maana nao wameshindwa kudhibiti?