Kikwete kutochukua hatua yoyote: Je ina maana naye anauza au kunufaika na unga?

Biashara ya UNGA hapa Tanzania inapangwa Jijini Dar es Salaam ukumbi wa BILLICANAS unaomilikiwa na Mbowe, na wanaosimamia dili hiyo ni mpwa wake Mbunge wa Moshi Mjini, na baadhi ya wachaga.
Taarifa zilizopatikana mwishoni mwa April zinadai Mzee Maarufu wa KICHAGA muasisi wa Chama Cha Siasa amemuonya Mbunge huyo kutomhusisha Mpwa wake huyo kwasababu amekuwa akitoa siri za ''utajiri'' wake kwa Mashushushu, hii itapelekea kumchafua yeye na taswira ya Chama cha siasa wanachokitumikia.

Walaka wa ONYO hilo utamwagwa hapa jamvini mwezi huu tarehe 30, STAY TUNED!.
 
Umeuliza maswali ya msingi. Lakini, just for a moment (and hypothetically speaking), hebu jaribu kujiweka kwenye nafasi ya Rais wa Jamhuri. Jee, wewe binafsi ungechukua hatua gani kuondoa tatizo hili kwenye mfumo mbovu uliyojaa rushwa na madudu kibao kwenye vyombo vyote kuanzia serikali, state, law enforcemenent na mfumo wa mahakama? Jee, inawezekana kwamba mtu mmoja angeweza kusafisha mapungufu na mabaya yote kwenye mfumo potofu, uliokithiri na ambao yeye mwenyewe anautegemea kudhihirisha dhana nzima ya madaraka yake bila ya mapinduzi ya kweli?

Duh! Great thinker yani hata KUTOKA MFANO KWA MMOJA WAO?
 
Back
Top Bottom