Kikwete kulalamika majukwaani


Ilikuwa funika kombe mwanaharam apite !!! ila Richmond in ya kikwete,,,,,
 
Nasubiri siku jk atakapo mwaga ukweli wote wa escrow na hivyo kumfanya lowassa kuanguka kwa aibu ktk sanduku la kura.

Ndugu, Unazungumzia Escrow au Richmond. Nadhani kashfa ni nyingi hadi zinawachanganya Watanzania
 
Edo akae kwenye mdahalo na six na mwaki kwano hao ndio anaogombea nao urais? Mbona muda mwingine mnakuwa irrelevant?
 

Wewe huna akili kweli ndugu yangu, unadhani RAIS ni kama baba yako? unaonekana hata shule hujaenda maana unakurupuka tu kama unaenda kupokea chakula cha njaa, kwani alichoksea yeye kumtaja ni nini? Lisu yeye kawakumbatia na sasa anajifanya kuwasafisha hao mapapa, kwanza amekuwa mtu wa kukurupuka ovyo, hajui kujipanga, anajibu kwa jazba, alikuwa wapi muda wote mpaka aanze kuiga usemi wa JK? MMEKWISHA MWAKA HUU HAMAPATI KUINGIA iKULU NG'OOO MIAKA LAKI 8
 
Ngoma inogile. Huku ubungo Kubenea nae kasema atawataja waliobeba hela stanbic.
 
Hayo maswali uliyouliza majibu yake Ndiyo suluhisho la ufisadi?

Nchi Rais analialia, Mwananchi wa kawaida analialia!
Sasa JK alitaka Wananchi ndiyo wakamkamate muhusika wa Richmond?
Usibadili topic hapa....suala ni nani anahusika...ukitaka kuongelea suluhisho la ufisadi basi fungua thread nyingine
 
Kuna wakati Kikwete huwa anajisahau kwamba ni Rais wa nchi. Sasa ni wakati wa kuwa na Rais mtendaji ambaye si Mwenyekti wala Katibu mkuu wa chama cha siasa.
 

Tumuite Julius Malema wa EFF aje atusaidie kumwita JK kuwa ni the most criminal person in the world
 
Uko sahihi kaka/dada kwa sababu km makufuli, Nyerere aliwazawadia vimada nyumba za serikali.
WATZ WANATAKA MABADIRIKO
 
Huyo rais mbwa aliyeshindwa tuachane naye asitupotezee muda. Yeye yupo kuhakikisha anaweka mtu atayelinda maslahi yake
 
Ngoma inogile ngoja tusubiri majibu toka kwa mkulu. Halafu tutasubiri tena majibu toka pande ya pili baada ya mkulu kujibu.
Hizi campaign natamani zisiishe tuendelee kusikia mengi.
 

Mmmmmhhhh .Mungu naomba uokoe vijana wa taifa hili.akawafungue ubongo ataikiwezeka kupasua kichwa na kuweka ubongo mpya .na kutupilia mbali huu .mfano alionao huyu kijana .ubongo ulitiwa material feki ya ccm .Mungu tusaidie.na watu wote waliopo hapa waseme .Amina
 
Kweli sina akili lakini hapa hapahitaji mwevuli maana hakuna mvua ,sasa nyinyi miccm mnaojificha kwenye vigogo vya Mvumo.

Kikwete ni Mwalimu kauliza au amesema na kuwambia wananchi kuwa mhusika wa ubadhirifu wa Richmond yupo na Lissu anamfahamu kamuulizeni atawatajia ,ili iweje vyombo vya sheria vichukue hatua au sio ?

Kwa kuwa Raisi anajua Lissu ni mwanasheria mwenye uzoefu wa taaluma yake ,atamjibu na kuwafunulia WaTz ,Lissu hakungoja kuulizwa bali alitumia mikutano inayoendelea kutoa jawabu ambalo waTz wote wamelisikia kwa kumtaja aliehitajiwa kumtaja.

Natarajia kinachofuata aidha Lissu na Kikwete wakamatwe na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria bila ya kujali cheo kwani suala hili linawahusu waTanzania wote kwa ujumla wao.

Kikwete atoe ushahidi wa kuwa Lissu anamfahamu na Lissu atoe ushahidi wa kuwa aliemtaja ndie mhusika MKUU.

Sasa mabadiliko tu kazi baadae !
 
Rais hajajibu hoja ya Lissu. Kama Richmond ilikuwa deal feki ilikuwaje wasifutilie mbali mkataba badala ya kuurisisha kwa Dowans? Na mwenye Dowans ni nani? Ni maswali raisi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…