Kikwete kukimbia hoja?

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
Hi! Wana jf
najaribu kutafakari na kujiuliza sipati majibu.nimezoe kila ifikapo mwisho wa mwezi jk anakawaida ya kuhutubia taifa.hotuba ambayo mara nyingi hujibu maswali ambayo wananchi wanasubiri kwa hamu tamko lolote toka kwa raisi,hii ilinipelekea mimi pengine hata kwa watu wengine kusubiri kwa hamu rais angesema nini juu ya dowans ktk hotuba yake ya kila mwezi kwa kua amekua kimya toka fukuto hili lianze,fukuto ambalo limemtoa nyoka pangon,namaanisha mama malia nyerere nae kapaza sauti.lakin tegemeo langu la hotuba halikwepo najiuliza jk amepanga safari kwa kukwepa jukumu?kutoa hoja juu ya dowans?mi bado sijaelewa.japo sitegemei jibu la dowans kutokulipwa kwakua watendaji wake wanasema dowans ilipwe hali ambayo lazima tuanzishe timbwili
 
KALE KAUTARATIBU KA KUONGEA NA WAHARIRI .....! KWANI KALIISHIA WAPI..?

sidhani kama nchi hii kwa sasa kuna rais!!!!!!!!...PAZIA!
 
Jamani ataongea nini wakati kila kitu mnakichambua na anajiona hana hoja. Alipofungua Bunge akazungumzia udini.. unaona ulivyopingwa. Alipozungumzia uchumi kukua - inaonekana anapingwa na anapotoshwa!!!
Ameamua akae kimya ili miaka yake mitano iishe aende uarabuni kula tende!!! Hekalu lake la Msonga analiuza sasa baada ya kuona kuwa kumbe hata REX attoney nao wanababaisha hawawezi kumtetea vyema katika ufisadi wake.....

Mwacheni apumzike!!!
 
Ana nini cha kutueleza? Kama ndo yaleyale ya maneno matupu hatitaki hotuba bali matendo!
 
Naamimi ashajua kwamba anaongeaga pumba na Watanzania wamechoka na hawataki tena pumba zake. Hivyo imebidi aache kuhutubia.
 
Ana wasiwasi pia kua atakapokua anahutubia wananchi kwakupitia TV na Redio watu watabadilisha station au kumsusia kama ilvyotokea pale bungeni!
 
Kunakizee flani kinakuaga bungeni kama hilizi sisiem sikuizi kikihojiwa kinaanza kuchanganya maneno mpaka kutoka nje ya mada iv kikowapi?nahamu ya kusikia anasemaje kuhusu dowans anaitwa somebody kingunge
 
Mkuu, yule mtu sasa hana la kuongea. Mwangalie hata anapoongea siku hizi, hana furaha, hajiamini, hana amani, hana mbwembwe maana anajua tushamchoka siye. Huko nyuma kuna hotuba aliwahi kuitoa akiwa nje ya nchi, ilimaanisha kwamba alisharekodi, sasa anaogopa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom