Kikwete kufanya ziara mwezini.

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,950
Reaction score
9,510
huenda Raisi wetu akazuru mwezini siku za hivi karibuni kabla hajang'atuka. make mwezini ndo sehemu pekee iliyo bakia ambayo hajafika
 
huenda Raisi wetu akazuru mwezini siku za hivi karibuni kabla hajang'atuka. make mwezini ndo sehemu pekee iliyo bakia ambayo hajafika

Hoja moto moto za CDM zinazidi kuongezeka
 
huenda Raisi wetu akazuru mwezini siku za hivi karibuni kabla hajang'atuka. make mwezini ndo sehemu pekee iliyo bakia ambayo hajafika

Sintoshangaa, kama mtu alikula miguu ya kuku utotoni lazima awe mtembezi
 
KOMANDOO hiyo rahisi, bali afunge safari kwenye JUA, mchana akienda ataungua aende usiku.
 
Atakwenda kote lkn jiografia hataijua, mimi nimekaa pale siku 2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…