Luteni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 2,274
- 302
- Thread starter
- #21
Binafsi nimeshitushwa sana rais kuanza kutaja taja neno DAMU tena mbele ya hadhara asifikiri Somalia na kwingineko wanakouana wanapenda kitu hicho. Nilitegemea atakemea wanaosambaza badala yake anakemea watu wengine wasiohusika. Namtahadharisha kuwa endapo DAMU DAMU DAMU itagika hata kama imeanzishwa na mtu mwingine provided yeye anao uwezo wa kuizuia kama rais itamulilia hadi anakwenda kaburini.mama yangu weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.maneno haya yametoka mdomoni mwake kweli?Yaani jamani afadhali mungu akunyime utajiri akupe akili...Wapi palipohubiriwa umwagaji wa damu?kweli kikwete umeishiwa ,khaaa this is very low for you...wewe si ndo unatuma majeshi yatishe watu wewe,synovate na REDET na tafiti zao za makengeza..mbona una hofu sana mwanakwetu...kaa utulie kushindwa ni kawaida TZ ya leo sio ya 2005....wewe watu hawakupendi na hawakutaki kwa kuwa serikali yako longolongo au nalo hulielewi