masoudmwevi
Member
- Aug 5, 2008
- 53
- 2
Ukiliangalia kwa makini baraza la mawaziri utagundua kuwa ndani ya miaka 2 almost woteeee watakuwa wamevuka miaka 45 je wana JF nini mustakbali wa vijana kwenye uwakilishi ndani ya kabinet ya nchi hii ambayo kwa sasa vijana ndio walio wengi na ndio waliopiga kura iliyoleta changamoto kwenye uchaguzi huu?
nini unafikiri Rais Atakavyowasikia vijana?
Au ndo wamtumie January Makamba kwa Mlango usio rasmi?
eeeh huyo na lake jambo coz anajua vijana ni wana mapinduzi ndo maana hajataka kuwaweka
Ndibalema nakushukuru kwa comment yako ninaposema kuliangalia ninamaanisha ukisoma majina ya mawaziri,ukiwa na wasaa ukatazama nyuso zao,ukipata fursa adhwimu pitia CV zao utayaona hayo ninayotaka wana JF wayatafakari kwa umakini
Vijana kwa nchi yoyote ndio nguvu kazi na kuna mambo hufanyika ujanani tu hivyo kama hawatoshirikishwa kwa kupewa fursa inapobidi wapewe kuna mambo mengio tutayakosa toka kwao
mimi nadhani we have to preasurize wabunge tuliowachagua na kuwaunga mkono pia kuwasapoti kwa mkono mmoja ili waweze kuwakilisha mahitaji yetu bungeni likiwemo hili la kubadili katiba
Kumbe majibu munayo sasa ni mikakati gani twaipanga kujikwamua na Kudai KATIBA mpya ????
Ukiliangalia kwa makini baraza la mawaziri utagundua kuwa ndani ya miaka 2 almost woteeee watakuwa wamevuka miaka 45 je wana JF nini mustakbali wa vijana kwenye uwakilishi ndani ya kabinet ya nchi hii ambayo kwa sasa vijana ndio walio wengi na ndio waliopiga kura iliyoleta changamoto kwenye uchaguzi huu?
nini unafikiri Rais Atakavyowasikia vijana?
Au ndo wamtumie January Makamba kwa Mlango usio rasmi?
Ndugu yangu walikuwepo akina Masha laikini sikuona chochote walichokifanya.
Labda wao wangekuwa ni mfano mzuri lakini walituangusha.
Ndiba, mtu kama Masha, unaweza sikia karudi veeery sooon!! Si unajua nafasi zake za special seats bado anazo, amezishika kama peremende!!!
Ndugu yangu walikuwepo akina Masha laikini sikuona chochote walichokifanya.
Labda wao wangekuwa ni mfano mzuri lakini walituangusha.
Hata akirudi atapewa wizara gani tena?Ndiba, mtu kama Masha, unaweza sikia karudi veeery sooon!! Si unajua nafasi zake za special seats bado anazo, amezishika kama peremende!!!
ukiliangalia kwa makini baraza la mawaziri utagundua kuwa ndani ya miaka 2 almost woteeee watakuwa wamevuka miaka 45 je wana jf nini mustakbali wa vijana kwenye uwakilishi ndani ya kabinet ya nchi hii ambayo kwa sasa vijana ndio walio wengi na ndio waliopiga kura iliyoleta changamoto kwenye uchaguzi huu?
Nini unafikiri rais atakavyowasikia vijana?
Au ndo wamtumie january makamba kwa mlango usio rasmi?
Ndugu yangu walikuwepo akina Masha laikini sikuona chochote walichokifanya.
Labda wao wangekuwa ni mfano mzuri lakini walituangusha.