utaonaje kipya wakati uko kazini ,kazi ambayo haina bonus mwaka unaisha bado book 7 idadi mumeshapungua wazungu wa unga washawastukiaMkuu, hakuna kipya kwenye hoja hii zaidi ni kuendeleza mipasho ya msanii Mbowe na timu yake ya Kinondoni Jazz Band
Ukisoma jina ni la bavicha member huna haja kusoma alichokiandika.
Naunga mkono hoja, atakayepinga hii hoja lazima atakuwa na upungufu wa akili au anafaidika moja kwa moja na uvinjifu huu wa katiba na matumizi yasiyoyalizima ya kikwete
Mkuu,Watu mengine ni wapuuz aisee mambo aliyoandika mtoa mada yako wazi kabisa haihitaji akil ya ziada kabisa kuyaelewa. Tatizo letu tunatanguliza uCCM na uCHADEMA katika kujadili kila jambo linalohusu utendaji serikali badala ya utaifa kwanza. Toa hoja kwa nini asijiuzulu kutokana na sababu hizo na sio ohh! Bavicha mara dk.slaa, kwani mtoa mada kasema rais ajiuzulu na nafasi ichukuliwe na mtu kutoka chadema? Anaweza yoyote kutoka chama chochote ila huyu wa sasa ni dhaifu.
Mkuu, rudia mada hapo juu kisha ielewe kabla hujachangia. Urais siyo jambo la kifamilia kama mlivyodanganywa.Mimi nafikiri humu ndani jf kuna baadhi ya watu ni mandingwi wa akili hivi mkeo nyumbani akiunguza chakula wewe baba ufukuzwe na watoto wako kwa kumuoa mama asiejua kupika au unatakiwa umuambie alivyounguza mkewe na amrekebishe tuache kuwa na roho kubwa wivu usio na tija
Pevuka.Tutolee usanii wako hapa,umeshindwa nini kuwaambia wale viongozi wako wanaong'ang'ania madaraka miaka nenda miaka Rudi ili waendelee kuitafuna ruzuku ya hiyo saccos yenu,
Umeshindwa nini kumwambia babu arudishe hela aliyoiba zaidi ya million 140 akamjengea nyumba kimada wake bunju nakutelekeza familia
Umeshindwa nini kumwambia dj aache kutumia ruzuku kukarabati Ile club yakuwauza dada zetu
Umeshindwa nini kuwahoji viongozi wako kwanini ruzuku haifiki mikoani na wilayani
Umeshindwa nini kuwahoji viongozi wako fedha Anazotoa sobodo huwa wanazipeleka wapi ukiacha mbali zile alizowapa wajengee Chuo chakufundisha uongozi kwa wanachama wao
Umeshindwa nini kuwahoji viongozi wako kwanini mpaka leo wameshindwa kujenga jengo la makao makuu licha yakupata ruzuku Kila mwezi zaidi ya million 300 toka mwaka 2010 ,kawahoji kuna agenda gani iliyopo Kati Yao na mmiliki wa hiyo nyumba hapo ufipa(10%)
Umeshindwa nini kuwahoji viongozi wako kwanini wanaogopa kufanya uchaguzi wa ndani kama kweli hicho ni Chama cha demokrasia
Kwaleo hayo yanatosha maana najua hawana majibu yake,
Nenda kawahoji kwanza hayo then ndio uje hapa uandike huo usanii wako.