Hapo mtoa mada kazungumzia elimu na nafasi alizowahi kushika, Je kuna jambo ambalo alishawahi kulisimamia kwa maslahi ya wananchi au kitu alichowahi kufanya cha kukumbukwa? Mfano Dr. Slaa, Mrema, na wengine wengi kuna vitu ambavyo vitadumu milelel na milele bila kusahaulika. vituo vya polisi vingi vingi unavyoviona leo ni Mrema huyo. Mwingine ni Mkulo ukisikia Mkuolo unakumbuka NSSF alifanya vizuri sana japo kwenye fedha kachemsha. Sasa kaka yetu kwa elimu na positions amefanya nini au alishawahi kufanya nini cha kukumbukwa? Mkapa hakuwa amefanyua cha kukumbukwa alkini baada ya kuingia madarakani alifanya mengi saaana japo kulikuwa na dosari dnogo ndogo.
Hongera Super Man, unafanya kazi nzuri, ili usiishie kwenye kupitisha ufagio peke yake kwa kufagilia tuu, baada ya kufagia, sio vibaya ukachoma na takataka pia, ili kuuhalalisha huo usafi ulio ufagia, sio mbaya ukasema na uchafu uliosafishwa.
The guy is good, ila binafsi nina mashaka na intelect yake, kugraduate sio issue enzi za Nyerere, GPA jee?.
Wizara zote alizopita alifanya nini na aliacha nini cha kukumbukwa (kila kona alipitia, kila kilichokatiza mbele ya macho yake ali...!)
He is married to Salma na wana watoto 8!, find out hao watoto 8 kama mama yao ndio huyo! you'll be surprised!.
Kufagilia tufagilie, lakini hapa JF, twende deep zaidi kidogo kwa kwenda over and above google na wikipedia, kwa vile JK ni rais wetu, tunaishi nae, tunamfahamu kwa karibu his streghths ni katika kusmile, na weaknesses zake jee?, yeye ni binadamu tuu kama binadamu wengine, tena dhaifu sana, sio tuu kwenye mambo ya kitaifa!, jamaa ni dhaifu!...
Tuendelee na kufagilia.
mi nilidhani kuna cv yoyote ya maana kumbe mnataka kutupotezea tu wakati..........KIZURI CHA JIUZA,KIBAYA....KUNA HAJA GANI KWA CCM KUHANGAIKA KUWADANGANYA WANANCHI KUWA WAMEFANYA KITU FULANI WAKATI KILA MTU ANAONA............WHY WASTING TIME LIKE THIS
Hongera Super Man, unafanya kazi nzuri, ili usiishie kwenye kupitisha ufagio peke yake kwa kufagilia tuu, baada ya kufagia, sio vibaya ukachoma na takataka pia, ili kuuhalalisha huo usafi ulio ufagia, sio mbaya ukasema na uchafu uliosafishwa.
The guy is good, ila binafsi nina mashaka na intelect yake, kugraduate sio issue enzi za Nyerere, GPA jee?.
Wizara zote alizopita alifanya nini na aliacha nini cha kukumbukwa (kila kona alipitia, kila kilichokatiza mbele ya macho yake ali...!)
He is married to Salma na wana watoto 8!, find out hao watoto 8 kama mama yao ndio huyo! you'll be surprised!.
Kufagilia tufagilie, lakini hapa JF, twende deep zaidi kidogo kwa kwenda over and above google na wikipedia, kwa vile JK ni rais wetu, tunaishi nae, tunamfahamu kwa karibu his streghths ni katika kusmile, na weaknesses zake jee?, yeye ni binadamu tuu kama binadamu wengine, tena dhaifu sana, sio tuu kwenye mambo ya kitaifa!, jamaa ni dhaifu!...
Tuendelee na kufagilia.
Roger that Pasco.
Pia Superman, ungetuelezea ni jinsi gani wewe unamjua Kikwete ( Kama Raisi na kama binadamu wa kawaida). Ungeanza kwa mazuri (kama ulivyofanya) kisha ukamalizia na udhaifu wake alafu sisi wadau tungemalizia tunayoyajua. Ila kwa kutupa habari kutoka UHURU (Gazeti la chama) na Wikipedia, unatuweka katika wakati mgumu kwani hatujui hata unachotaka sisi tuonge ni nini.
IPTL Saga : Alikuwa Waziri wa Nishati (Mojawapo ya Mambo ya kumukumbuka)
EPA & Co : Case zinaendelea (Akiwa Rais)
Mramba & Yona : Case inaendelea (Akiwa Rais)
BOT Twin Tower Saga : Case inaendelea (Akiwa Rais)
CV ya JK? blah blah tu. CV alikuwa nayo Dr. Salim na bado CCM wakambwaga. Sina imani kama CV inafanya kazi kwenye siasa za Tanzania. Majangili wana CV gani na bado wanaongoza
President Kikwete is a keen sportsman having played basketball competitively in school. He has been a patron of the Tanzania Basketball Federation for the past 10 years. He is married to Mama Salma Kikwete, and together they have eight children.
Although in the past two years of Kikwete's presidency, a remarkable 1,500 new secondary schools have been built (the quality of these new school is very poor, no teachers, no desks etc)
Mkuu kwa nini unafikiri CV ya JK ni blah blah tu?
of course yeye kwa sasa ndiye rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania toka 2005 hadi 2010 . . . . .
kwa hiyo wa kujadiliwa hapa ni Kikwete tu?
Basi hii thread hainihusu ngoja niwaachie wadau mwendelee.
1. Luteni (usu?) mzima unaanguka hadharani kwa uchovu na kufunga?
2. Kiongozi mwenye maadili unasema mimba za wanafunzi ni viherehere?
3. Mwanaume mwenye mke na watoto nane (tu) unawaahidi wanawake wajawazito bajaji ziwapeleke kujifungua kwenye barabara zenye makorongo?
4. Mtu mzima mwenye watoto wa kike unaamini mtoto wa kike akijifungua akaruhusiwa kusoma maziwa yatamwagika akiwa darasani?
5. Rais mwenye akili timamu unakiri hadharani hujui kwa nini Tanzania ni masikini wakati uliahidi maisha bora kwa kila Mtanzania?
6.Mwenyekiti wa chama tawala unatumia familia yako kukupigia kampeni kama chama kimekuwa sehemu ya sebule yako?
need I say more? I don't think so!
Hiyo CV ya JK hata ikiwa imetengenezwa kwa dhahabu na kunakshiwa na vito vya almasi ni blah blah bla tu
Ndibalema hebu cheki signature yako then angalia ulichoandika ...Nahisi unakinzana nayo sana hiyo signature yako we endelea tu hakuna kumwachia mwingine hapa.. weka uchafu wake weka mazuri yake si ndo maana ya black and white ama?
Ana mke, Salma Rashid Kikwete, na ni baba wa watoto wanane; wanaume sita na wanawake wawili.