Mkulu haachi kitu sasa hivi anahudhuria sherehe za miaka 50 ya Chama cha Kidemokrasia nchini Botswana....amabapo hata Mzinduzi angweza kwenda..........Madelina Albright aliwahi kunukuliwa akisema..nimesafiri sana kiasi kwamba hata hapa nilipo sijui niko wapi..............hii inaelekea kumkumba JK...........
Au kujiuliza ni marais wangapi wameenda Botswana........Kisheria angetakiwa aende.
1.waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa.
2.katibu mkuu wa chama cha mapinduzi.
3.wajumbe kadhaa wa ccm.
May be na wajumbe kadhaa watakaokuwa na umuhimu.
Mbona kirumba hakukuwa na maraisi.
Note:
Jk hajui kuikonomaizi ingawa kasoma uchumi.
Kisheria angetakiwa aende.
1.waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa.
2.katibu mkuu wa chama cha mapinduzi.
3.wajumbe kadhaa wa ccm.
May be na wajumbe kadhaa watakaokuwa na umuhimu.
Mbona kirumba hakukuwa na maraisi.
Note:
Jk hajui kuikonomaizi ingawa kasoma uchumi.
kumbe anaenda kwenye sherehe?!
Sheria za nchi zinasemaje kuhusu mzuluraji?akamatwe kwa kuzurura ovyo