Boss suala la RA nalifananisha mara zote na Bakhressa. Bakhressa alipewa maghala ya iliyokuwa NMC bila hata ya kutoa senti tano, nikajiuliza huyu jamaa ana nguvu kiasi gani hadi anachukua mali za Umma bure bure!? RA naye tunaambiwa kwamba anamiliki mali nyingi lakini si kwa jina lake. Hata Richmond ina mikono yake.kuna kitu hakiko sawa mtu
ana nguvu zoote
halafu anaitwa fisadi na kutakiwa kujiuzulu ubunge
na anajiuzulu??????????/
Mkuu naona una uhakika sana wa jambo hili mpaka kuita UDAKU, any way, ukiondoa media utakuwa umewaua watu kwa nusu ya maisha yao maana hayo ni mawazo yanayotokana na watu kuwa hai na kufikiri kumbe hatutochoka kusoma habari labda tuzingatie ushauri wa kujikwamua katika maisha magumu kwa kuyatokomeza yale yanayochangia na kusababisha ugumu huo, na kwavile umeshauri tutumie ubongo hata haya kuna watu wametumia ubongo, hatuwezi kukwepa kutumia ubongo Mkuu ndiyo maana hata wewe umetumia ubongo kuona hili.Watanzania,
Hivi kweli mnapenda story za udaku namna hii?.
Kila siku huwa nasema na kusisitiza anzeni kufikiri kwa kutumia ubongo wenu acheni magazeti na mitandao kuwafikiria.
Ndio maana mnalialia kila kukicha maisha magumu, hayawezi kuwa raisi kama mnaamini story ya kutunga kama hiyo hapo juu.
Lakini mkuu hii mada kama una mwegamo fulani hivi. Au unayajua haya!?Hutaki Unaacha!
Lakini mkuu hii mada kama una mwegamo fulani hivi. Au unayajua haya!?
kufikirika.Kusadikika.
It is pity that in 2011, just a year after the 2010's election, we're already discussing presidential candidates for 2015. Five years in politics is a long time. More than enough for peril to be averted and political capital to be accumulated in the process. So, let's escape from that hypothetical and face the facts of brutal reality.
In 2015, the public will assess the present government in terms of the decisions made and the choices taken. They will also be delivering their verdict on the state of Tanzania in those five years. At the moment, what the public want to hear is not presidential candidates for 2015, but whether their problems are being heard and addressed.