Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

juzi juzi tu mtoto anayetegemewa kuwa rais wa hili taifa amelalamika kuwa kuna mbinu za kumuua mzazi wake, hivi huyo mzazi angekuwa na nguvu zote hizi malalamiko yangetoka wapi. lowassa hawezi kuwa rais wa JMT bila msaada wa kikwete, halafu 2015 ni mbali mno, kuna mengi tu yanaweza tokea, kila mtu anatumai kufika huko, mwenye uhakika wa kufika huko hakuna.

Z Train, You can say it Again!!
 
Weee Pasco mhuni sana yaani... uwe karibu unukie manukato au sio?.. unajua kusema kweli una point nzuri sana maana maisha ya leo na umaskini huu unapopiga kelele za mlangoni au kunadi salaa alfajiri ambyo kwao ni usiku wa manane unawachosha waliolala.. Kubakia peke yako inakupa wakati mgumu sana pengine kweli inabidi watu tujipange nyuma ya Lowassa maana kufa maskini nako kazi!!!! Haaa! haaa! haa!
Mkuu Mkandara, kwa hiyo na mimi umeniweka kwenye kundi hili la "nani hapendi kuweka vogue barabarani na hekalu by the beach?, Get Rich or Die Trying!"
 
Huu mzunguko mbona nimeshindwa kuuelewa? Aliyesoma akaelewa ajaribu kunisaidia ili na mimi nisiachwe nyuma. Nini chimbuko la waraka huu?

Tiba

Hoja kuu ni kutuaminisha kuwa Urais wa Serikali Muungano ya Tanzania utabaki kuwa ni mali ya CCM hapo 2015.

Hizi hoja za Lowassa kusafishwa, kuwa anafaa kuwa Rais kutokana na historia ya uchapakazi wake ni muendelezo kuwa hakuna upinzani utakaoukwaa Urais Tanzania.

Hivyo ndivyo nilivyofahamu mimi.

Jamaa ni mtunzi mzuri wa hadithi amepandikiza utata mwingi ambao unalengo la kuibua migogoro ndani ya CCM na CUF lakini hitimisho lake ni kuwa CCM itaangukia katika mikono ya Lowassa ambaye atakuwa Rais 2015.
 
OOH my dear friend EMT, how wrong you are and it definitely looks like you are forgetting one very important point, this is Bongo !

Exactly, this is Bongo where the only thing which is in the minds of its people all the time is who is going to be the next president. People are now cracking their heads about the next discovery, sisi tumejitikita kujadili mitandao ndani ya CCM. Acheni siasa za maji taka. Pigeni mzigo.
 
RA naye tunaambiwa kwamba anamiliki mali nyingi lakini si kwa jina lake. Hata Richmond ina mikono yake.
Kigarama, mmiliki halisi wa Richmond yupo, sio Rostam wala sio Lowassa!. Hata Adam Gire aliyeisajili ni boya tuu!. Rostam na Lowassa wao waliingia ili kumnusuru mmiliki halisi, na ndipo ilipojigeuza Dowans, RA na EL wakatia mkono!, ukumbuke wao wametia tuu mkono, baada ya tume ya Mwakiembe, Zitto alipendekeza serikali iitaifishe, watu walipinga sana, sasa imechange hands to Simbion na inaendelea na kazi, na mmiliki ni mmiliki tuu, juzi, (richmond), jana (dowans) na leo (simbion)!.
 
Lisemwalo lipo ww FP, bongo bila fitina huwi rais unafanya mchezo, hivi umewahi jiuliza ni kwa nini issue ya ngombea mwenza wa kikwete ilikuwa issue!!
 
hata kama ni stori ya kutungwa ina chembe ya kaukweli fulani kumbukeni kuwa hata wale watunzi wa riwaya maarufu huwa wana ujumbe fulani kwa hadhira
Hii inatoka kule kwenyewe kunako!. Kuna vijana wa Othman, wamelishwa sumu, sasa wanatapika nyongo humu ili madhara ya ile sumu yawapungue!
 
Mkuu Mkandara, kwa hiyo na mimi umeniweka kwenye kundi hili la "nani hapendi kuweka vogue barabarani na hekalu by the beach?, Get Rich or Die Trying!"
Heee! vogue ngapi unataka zijipange...lakini nadhani nakusoma vizuri sana kuliko wengi wanavyokuchukulia. Ni kaukweli kanakouma na kama vile unasema - Jiandaeni na mafuriko wabishi sisi tunapinga tu oooh haiwezekani kuhama! tuende wapi..Na humalizia kwa kusema shauri yenu mimi natangulia juu mlimani..
Haya wingi ndio linafunga hivyo!
 
Heee! vogue ngapi unataka zijipange...lakini nadhani nakusoma vizuri sana kuliko wengi wanavyokuchukulia. Ni kaukweli kanakouma na kama vile unasema - Jiandaeni na mafuriko wabishi sisi tunapinga tu oooh haiwezekani kuhama! tuende wapi..Na humalizia kwa kusema shauri yenu mimi natangulia juu mlimani..
Haya wingi ndio linafunga hivyo!

Safari ni hatua, safari ya kuelekea 2015 ndio hii imeanza, magari ni mengi na yanachomoka mbio tatizo mengine mengi hayatafika,
hivyo ni muhimu sana kuangalia ni gari gani unadandia ili ufike hiyo safari,

Karibu sana Mkuu Mkandara, kwenye gari letu linaloendeshwa na dereva bingwa mzoefu, Edward Lowassa
 
Mchunguzi nenda kwenye PM nikueleze kwanini namkubali Lowassa, tujadiliane huKo mpaka mwisho. achana na magazeti kaka na mtandao.

Mkuu naona ungesema tu hapahapa hizo sababu zako za kumkubali Lowasa,kwa faida ya wengi.Pengine nami nitabadili mtazamo wangu,who knows!
 
Hilo Kundi lenyewe la Lowasa na Karume kusimamishwa na CCM ni upuuzi mkubwa sana kwangu; at least ningesikia kuwa Dr. Shein na mtu mwingine mwenye akili nzuri kutokea Tanganyika ambaye hajahusishwa katika uongozi wowote ndani ya CCM ningeona kuwa kuna jambo la maana kidogo linasukwa. Timu yote inayozungumzwa hapo na bure kabisa.
 
hivyo ni muhimu sana kuangalia ni gari gani unadandia ili ufike hiyo safari,

Karibu sana Mkuu Mkandara, kwenye gari letu linaloendeshwa na dereva bingwa mzoefu, Edward Lowassa

Pasco na mimi nipo EL AirLines usafiri ulio bora na wa uhakika kuelekea ufukweni, huyo we muache apande malecela bodaboda au membeCoach ambalo limeua difu la mbele, hahaha SITAbike nasikia engine imenoki
 
Back
Top Bottom