Kikwete hii ndiyo Turufu yako ya Mwisho!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,838
Kutokana na haya malumbano ya Uraisi yanayoendelea sasa hasa kuhusu Bw.Lowasa, Membe, Pinda &Co. Raisi Kikwete anaweza kufanya jambo jema kwa kuwakata wote hawa na kumleta Mtu ambaye hana makundi wala wafuasi njaa, mtu ambaye hana mdomo mdomo wala historia mbaya ya ufisadi wa kutisha, mtu mpya kabisa kama vile Nyerere alivyomleta Bw.Mkapa!

Raisi kikwete akifanya hivyo basi nitamsamehe kwa yote mabaya yaliyotokea kwenye Uraisi wake, na msiniambie hana huo uwezo kwani najua anao sana yeye ndiye Mkuu wa nchi na vyombo vyote vya usalama, hata Tume ya uchaguzi pia yeye ndiye bosi wake na pia na Mkuu wa Chama cha CCM hivyo ni swala la kuamua tu kwa mfano anaweza kumleta Bw.Muhongo mtu ambaye hana mambo ya siasa siasa za maji taka!
 
Umeamkeje? huku kwetu kuna nyomi ya kuua mtu hatufiki kazini? wala nani awe Rais hatuwazi ikiwezekana aendelea huyo huyo Kikwete
 
Ccm wana hofu sana na El huyu akikatwa tuu ccm imekwisha .sisi Ukawa tumejiandaa kuhakikisha raisi ajaye lazima atoke ndani ya Ukawa.
 
Na ndivyo itakavyokuwa. RAIS KIKWETE atahakikisha chama hakimfii mikononi. Atahakikisha haya makundi yanayolumbana yote yanapigwa chini then anachaguliwa mtu ambaye anakubalika na watanzania wengi. Ni jambo la kusubiri tu
 
Ccm wana hofu sana na El huyu akikatwa tuu ccm imekwisha .sisi Ukawa tumejiandaa kuhakikisha raisi ajaye lazima atoke ndani ya Ukawa.
Si CCM tu wenye hofu bali watanzania wengi wenye mapenzi mema na nchi hii. Lowasa amekataliwa hapa duniani hadi mbinguni. Mwenyezi Mungu kakemea vitendo vya ufisadi ambavyo Lowasa anaviendekeza
 
Naunga mkono hoja...Rais Kikwete sio tu ana uwezo wa ku-influence nani abebe bendera ya CCM kwenye uraisi, bali pia he has MORAL responsibility ya kuhakikisha kuwa nchi anaiacha katika mikono salama na misafi. Wale wote waliokwenye front line ya kupiga makelele mengi ili ku-attract attention (EL, BM, 6, JM, EN, etc) wote wapigwe chini. Aibuliwe mtu mwingine kabisa who has no strings or networks with other people.
Akifanya hivyo na mimi nitakuwa nimesamehe mapungufu mengine yote aliyoyaonyesha kwenye urais wake.
 
WAMA wamekata tamaa kuona kuwa Lowassa hazuiliki hakamatiki na sasa wanakuja na Spin nyingine eti Nyerere alimleta Mr. Clean BWM ambaye ameuza Rasilimali zote za nchi hii ... Wananchi waachiwe wafanye maamuzi yao!! Kama Rais angekuwa na Influence ya kumteua mrithi wake basi JK asingekuwa hapo alipo kutokana na Ripoti ya akina Syoverwa ...
 
Wengi mnamgwaya sana Lowassa kwa kuwa mmepiga sana Fitna ... Worry out hatawalipizia kisasi ila itabidi mbadili mind set zenu otherwise mtajikuta vibarua vyenu vimeota Mbawa ....
Naunga mkono hoja...Rais Kikwete sio tu ana uwezo wa ku-influence nani abebe bendera ya CCM kwenye uraisi, bali pia he has MORAL responsibility ya kuhakikisha kuwa nchi anaiacha katika mikono salama na misafi. Wale wote waliokwenye front line ya kupiga makelele mengi ili ku-attract attention (EL, BM, 6, JM, EN, etc) wote wapigwe chini. Aibuliwe mtu mwingine kabisa who has no strings or networks with other people.
Akifanya hivyo na mimi nitakuwa nimesamehe mapungufu mengine yote aliyoyaonyesha kwenye urais wake.
 
Naunga mkono hoja...Rais Kikwete sio tu ana uwezo wa ku-influence nani abebe bendera ya CCM kwenye uraisi, bali pia he has MORAL responsibility ya kuhakikisha kuwa nchi anaiacha katika mikono salama na misafi. Wale wote waliokwenye front line ya kupiga makelele mengi ili ku-attract attention (EL, BM, 6, JM, EN, etc) wote wapigwe chini. Aibuliwe mtu mwingine kabisa who has no strings or networks with other people.
Akifanya hivyo na mimi nitakuwa nimesamehe mapungufu mengine yote aliyoyaonyesha kwenye urais wake.
Naunga mkono hoja. Kti ya hao wote, hakuna hata mwenye sifa ya kuwa Mkuu wa nchi. Wengi ni mchwa
 
Mkuu,

Ndani ya CCM hata akiletwa MALAIKA atabadilika na kuwa SHETANI tu!!

Tazizo sio watu!Tatizo ni mfumo!!Na njia pekee ya kuvunja mfumo huo ni kuchagua mtu NJE ya CCM!!

Kumpa nafasi hiyo PR. Muhongo ni bora hata kumpa Nape nchi aongoze !!!!
 
Wengi mnamgwaya sana Lowassa kwa kuwa mmepiga sana Fitna ... Worry out hatawalipizia kisasi ila itabidi mbadili mind set zenu otherwise mtajikuta vibarua vyenu vimeota Mbawa ....
Mkuu, mapenzi yako kwa fisadi Lowasa mpaka yanapitiliza. Mambo mengine si ya kuyaonesha humu. Yafaa tu yawe kwenye kifua chako
 
Mkuu,

Ndani ya CCM hata akiletwa MALAIKA atabadilika na kuwa SHETANI tu!!

Tazizo sio watu!Tatizo ni mfumo!!Na njia pekee ya kuvunja mfumo huo ni kuchagua mtu NJE ya CCM!!

Kumpa nafasi hiyo PR. Muhongo ni bora hata kumpa Nape nchi aongoze !!!!
Una maana gani? Kwani Nyerere alikuwa shetani? Na je kuhusu mzeee Ruksa? Vipi Ben Mkapa? Na je kuhusu JK? CCM haijawahi kuwa na Rais hovyo. Ndo maana nchi yeru inaheshimika kitaifa na kimataifa
 
Si CCM tu wenye hofu bali watanzania wengi wenye mapenzi mema na nchi hii. Lowasa amekataliwa hapa duniani hadi mbinguni. Mwenyezi Mungu kakemea vitendo vya ufisadi ambavyo Lowasa anaviendekeza
Ma President is Lowasa...zingine zote ni porojo tu ufisadi mkubwa umeonekana kwenye escrow..vitalu vya gesi..fedha za ghadafi lowasa akiwa nje ya serikali..etc Lowasa hazuiliki na watanzania tunamhitaji nchi hii imekwama kwenye tope tunahitaji atutoe kwenye ili tope nzito..Mungu mlinde Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowasa dhidi ya maadui na muwezeshe aweze kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania afufue uchumi wetu na kuinua hali za watanzania
 
Una maana gani? Kwani Nyerere alikuwa shetani? Na je kuhusu mzeee Ruksa? Vipi Ben Mkapa? Na je kuhusu JK? CCM haijawahi kuwa na Rais hovyo. Ndo maana nchi yeru inaheshimika kitaifa na kimataifa
katika vitu ninavyochukia ni hii la wana ccm kujfariji eti ohh tunaheshimika kitaifa na kimataifa tuachane na hbuo upuuzi hatutaki kuheshimika tunataka maendeleo umewahi kuskia malysia au south korea waliokua 3rd world country kama sisi wakiomba kuheshimika,,,tunatakiwa tupate viongozi wenye dira kama the late sokoine ambaye alimtksa adi nyerere ambapo kwa sasa tuna dikteta lowasa ambaye ana uwezo wa kutuvusha apa tulipo cz kwanza ni mtendaji kazi mzuri na pia ana command sprit...
 
Tanzania hatuhitaji Rais Dikteta bali mtu anayejua matatizo ya Watanzania na kuyatafutia ufumbuzi. Lowasa si mtu mzuri. Huyo ni mchwa. Tukifanya makosa ya kumchagua tutakula mpaka majani
 
Back
Top Bottom