- Mkuu Mwalimu alikuwa Doctor na hakufanya paper mahali popote, Dr. Salim pia na wengineo wengi sana, anyways Demokraisa inaruhusu mwananchi kufanya anachotaka, ikiwa ni pamoja na uamuzi wako wa kukataa PhD ya kupewa, mimi ninamheshimu yoyote yule aliyenayo kama ya kupewa au ya kuisomea, mradi sio ya feki tu.
- Mambo mengine kwenye maisha ni it is what it is!
William.
Inawezekana watembeleaji wa JF ni vijana wadogo au ni watu wa kusikia habari tu na kuzishikilia kwa nguvu bila kuchunguza na kutafakali.Jamaa hapo juu anasema uDr.wa JK ni sawa na uafande wa afande sele.Inaonesha ni jinsi gani hajui mambo.KWANZA afande Sele ni kweli alikua polisi ila aliamua kuresign mwenyewe na kuingia kwenye muziki alikoona inalipa.Ushahidi fuatilia historia yake ya maisha au we google tu utapata mengi kumuhusu.PILI heshma ya uDr.JK alipewa huko uturuki.Alipewa heshma hiyo katika chuo kikuu cha uturuki baada ya Tanzania kusuluhisha mgogoro wa kisiasa nchini kenya na pia kwa ajili ya ushirikiano wa kimataifa mfano kuvikomboa visiwa vya comoro na anjuan,vilevile kushiki kijeshi sehemu tofauti.Kuinua uchumi wa taifa interms of GDP and investment.Tayali nimegundua kua hapa JF kuna watu wana negative attitude tu na JK hasa udini ndo unawasumbua watu hao,na wamekosa fikra mchanganuo na kua fikramgando! I HATE THEM.

Cityboy wewe ni wakuja hapa JF. Post tatu tu umeishagundua udini na kutangaza chuki kwa watu? Kaa kwanza ujifuze. Vinginevyo wewe ni Village Boy.Inawezekana watembeleaji wa JF ni vijana wadogo au ni watu wa kusikia habari tu na kuzishikilia kwa nguvu bila kuchunguza na kutafakali.Jamaa hapo juu anasema uDr.wa JK ni sawa na uafande wa afande sele.Inaonesha ni jinsi gani hajui mambo.KWANZA afande Sele ni kweli alikua polisi ila aliamua kuresign mwenyewe na kuingia kwenye muziki alikoona inalipa.Ushahidi fuatilia historia yake ya maisha au we google tu utapata mengi kumuhusu.PILI heshma ya uDr.JK alipewa huko uturuki.Alipewa heshma hiyo katika chuo kikuu cha uturuki baada ya Tanzania kusuluhisha mgogoro wa kisiasa nchini kenya na pia kwa ajili ya ushirikiano wa kimataifa mfano kuvikomboa visiwa vya comoro na anjuan,vilevile kushiki kijeshi sehemu tofauti.Kuinua uchumi wa taifa interms of GDP and investment.Tayali nimegundua kua hapa JF kuna watu wana negative attitude tu na JK hasa udini ndo unawasumbua watu hao,na wamekosa fikra mchanganuo na kua fikramgando! I HATE THEM.
DR or NOT DR
KIKWETE IS THE PRESIDENT.
KIKWETE AMEPATA Honorous Causa kabla ya KAMPENI.
Dr SLAA ameingia kwenye kinyang'anyiro after being requested na CHADEMA, mwaka huu; long after KIKWETE being a DR.
LA MSINGI
SIO KILA MTU ANAWEZA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO, ila wengi wanaweza kuwa na PhD. chukua Statistics, tangu uhuru, marais wanne, ila PhD, za kumwaga. Nyengine za Divinity; ambazo zilipaswa zitumike kwenye Dayosisi. Let us not mock each other here.
unauhakika? Umeiona transcript yake? Usituletee mijadala ya kwenye vigenge vya kahawa hapaKikwete mbona anfurahia sana kuitwa Dakta ili naye ajitutumue ingawaje alikuwa na gentleman
hakuna mdini humu. Wewe tu ndo unajishtukia na unaonekana waziwazi kuwa wewe ni mdini.Kwa yule anayesema hapa JF nina vipost 2 au 3 sasa nimegunduaje udini? Ndugu mi nimekua msomaji na mtembeleaji wa JF siku nyingi sana ila nilikua sijaamua tu kujiunga.Nimeamua kujiunga baada ya kuona kuna watu hapa wanataka kupotosha ukeli hasa wakileta udini waziwazi.Naomba wana JF wapitie na kurevise terms and conditions za JF.