Kikwete: Globetrotting Interrogated

Mwembetayari

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
333
125
The editorial of one Swahili Daily, Tanzania Daima of February 22 carried a title: “Msafara wa Rais Nje Upunguzwe,” or literally, the Presidential entourage abroad should be cut down. This has been a thorny issue for Tanzanians especially when it comes to extravagance by their globetrotting ruler, Jakaya Kikwete.

Since he came to power six years ago, Kikwete has made over 300 tours abroad, an average of 50 trips annually or one trip in every two weeks. He is second to none in Africa when it comes to touring foreign countries ahead of presidents Yoweri Museveni (Uganda) and Jacob Zuma (South Africa). Analysts wonder why he conceals the names of his delegates, for during his foreign tour, only his wife is mentioned alongside him. It seems the list of delegates on his trip to Britain leaked.

Kikwete surprised the country when he left for Davos to attend the World Economic Forum (WEF) while back at home, Tanzanian doctors were on strike demanding good payment. Many patients lost their lives as the government maintained that it did not have money to give to doctors. To Kikwete, the doctors’ strike could not stand in his way. Fortunately for him, Tanzanians are ‘peaceful’ as politicians in the country like to refer to them.

If Kikwete does not have any fiscal discipline, what about those under his watch? Since he came to power, Kikwete has been accompanied by friends and controversial businessmen who have allegedly committed grand corruption in the country. Tanzanians want their president to be tamed and be held accountable for the hard-earned taxpayer money.
Despite all noises, Kikwete has kept mum and is doing more of his globetrotting. Tanzanians have consequently nicknamed him ‘Vasco da Gama,’ or ‘Tourist President.’ As of 9/9/2011 when Kikwete toured Kenya, he had already made 316 tours abroad since coming to power in 2005! Even Ian Khama of Botswana with its stable economy has not done this. Kikwete is traveling more often than presidents and PMs of donor countries such as the US, Canada and Britain! For example, as of November 19, 2011 President Barack Obama had made just 24 foreign tours since he came to power. This translates into eight tours annually.

Kikwete is doing exactly what Uganda’s President, Yoweri Museveni has been doing for decades. According to the Observer of February 22, 2012, UShs 3.810 billion was approved for State House travels in the financial year 2010/11 even though figures indicated that Museveni used UShs 7.423 billion to visit 13 countries, host 11 heads of state and foreign dignitaries, and to attend 12 regional and international meetings. That means the Shs 5.055 billion Museveni wants this financial year might actually shoot up.

Tanzanians are agitating that Kikwete’s trips abroad be probed after he left for Britain accompanied by 40 people. How can a country whose budget depends on donors by 40% be extravagant at a time when many strong economies are grappling? When will he sit in office and serve the people?
By Nkwazi Mhango.

A Canada based Tanzanian and author of Saa ya Ukombozi.

The African Executive | Kikwete: Globetrotting Interrogated
 
its a shame. Pengine itabidi ahame nchi aking'atuka maana sioni atapona vipi?
 
Huuyu mtu limbukeni na asiyejali maatizo ya Watanzania. Hawa watu makatili wala wasikudanganye wanapolia machozi ya mamba. Deep down their black hearts, they donot give a damn to the lives of the Tanzanians. Does Kikwete care that most Tanzanians cannot afford two meals a day? 40 people delegation to UK!
 
Jamani tusianze kumshambulia bila kuwa na facts kamili, hiyo delegation ya watu 40 kwenda naye Uingereza kama ni kweli labda ilikuwa inawa-include wafanya Biashara na Bankers ambao hawakughalimiwa na Serikali - tusiwe tunakuwa irrational wakati mwingine.

Mimi katika mawazo yangu kwa nini hatumuhulizi SALVA pale Ikulu, akatupa takwimu za kitu gani kiliji kuliko kubuni tu kwa kuongeza chumvi vitu vingine. JK awezi kukusanya watu tu out of the blue na kuongozana nao kwenda Ulaya kula Biriani, tukiweka maanani kwamba safari hizi huwa zina andaliwa mapema sana kwa kuchagua watu ambao wanatakiwa kusafiri naye kwa manufaa ya TAIFA na sidhani kama yeye anahusika na taratibu hizo moja kwa moja.

Huwa na shangazwa sana na comments kwamba JK anapendelea kusafiri sana nchi za nje, huyu mtu aliwahi kuwa Waziri wa mambo ya nchi za nje, kakaa pale miaka kumi - kama kusafiri nchi za nje kasafiri sana, leo hii akatakuwa na ulimbukeni gani wa kuchangamkia safari za nje zisizo na tija!

Wakati mwingine tunapashwa kuendana na facts and figures - hivi tukifanya mahesabu ya gharama za safari zake za nje na delegation zake tukalinganisha na faida zilizo patikana kutokana na safari zake hizo, mfano:Misaada, ujensi wa Mahospitali ya kisasa (magonjwa ya moyo, urology,na neva - matibabu yote yanayo patikana kwenye first world ameyaleta Tanzania), vyuo vikuu vya Kisayansi na Technologia (viko viwili Tanzania Dodoma na Arusha) the list is endless - hebu niambie sum total ya vitu hivyo ni ngapi? leo hii mtu unaweza kuwa na nerve ya kumsema! tuwe wakweli bila ya kuwa na ushabiki wa siasa.
 
jamani tusianze kumshambulia bila kuwa na facts kamili, hiyo delegation ya watu 40 kwenda naye uingereza kama ni kweli labda ilikuwa inawa-include wafanya biashara na bankers ambao hawakughalimiwa na serikali - tusiwe tunakuwa irrational wakati mwingine.

Mimi katika mawazo yangu kwa nini hatumuhulizi salva pale ikulu, akatupa takwimu za kitu gani kiliji kuliko kubuni tu kwa kuongeza chumvi vitu vingine. Jk awezi kukusanya watu tu out of the blue na kuongozana nao kwenda ulaya kula biriani, tukiweka maanani kwamba safari hizi huwa zina andaliwa mapema sana kwa kuchagua watu ambao wanatakiwa kusafiri naye kwa manufaa ya taifa na sidhani kama yeye anahusika na taratibu hizo moja kwa moja.

Huwa na shangazwa sana na comments kwamba jk anapendelea kusafiri sana nchi za nje, huyu mtu aliwahi kuwa waziri wa mambo ya nchi za nje, kakaa pale miaka kumi - kama kusafiri nchi za nje kasafiri sana, leo hii akatakuwa na ulimbukeni gani wa kuchangamkia safari za nje zisizo na tija!

Wakati mwingine tunapashwa kuendana na facts and figures - hivi tukifanya mahesabu ya gharama za safari zake za nje na delegation zake tukalinganisha na faida zilizo patikana kutokana na safari zake hizo, mfano:misaada, ujensi wa mahospitali ya kisasa (magonjwa ya moyo, urology,na neva - matibabu yote yanayo patikana kwenye first world ameyaleta tanzania), vyuo vikuu vya kisayansi na technologia (viko viwili tanzania dodoma na arusha) the list is endless - hebu niambie sum total ya vitu hivyo ni ngapi? Leo hii mtu unaweza kuwa na nerve ya kumsema! Tuwe wakweli bila ya kuwa na ushabiki wa siasa.

umetumwa eeh...yani unadhani hao waandishi hawalijui hilo unalolizungumzia?? Kaburi lenu tumeshalichimba tunazika mmoja mmoja....movement for change!!!!!
 
Jamani tusianze kumshambulia bila kuwa na facts kamili, hiyo delegation ya watu 40 kwenda naye Uingereza kama ni kweli labda ilikuwa inawa-include wafanya Biashara na Bankers ambao hawakughalimiwa na Serikali - tusiwe tunakuwa irrational wakati mwingine.

endelea kuota....
 
Hii habari ya safari za Kikwete imeshajadiliwa sana kule kwenye jukwaa la siasa na kina uzi unaweka takwimu za safri zake. On the other hand, I am not sure kama hili ni swala la International Forum. Pili, timing ya hii thread inaweza kutafsiriwa kivingine. Recently, kumekuwa na threads za kupimana misuli kati wadau wa nchi mbili: Tanzania na Kenya. Mara slums, mara uchumi bora vs dhaifu, mara maskini, mara ukabila na sasa safari za viongozi. Sina hakika kwa nini haya mambo yamekuja sasa na kwa nini yaletwe kama yanavyoletwa!
 
Jamani tusianze kumshambulia bila kuwa na facts kamili, hiyo delegation ya watu 40 kwenda naye Uingereza kama ni kweli labda ilikuwa inawa-include wafanya Biashara na Bankers ambao hawakughalimiwa na Serikali - tusiwe tunakuwa irrational wakati mwingine.

Mimi katika mawazo yangu kwa nini hatumuhulizi SALVA pale Ikulu, akatupa takwimu za kitu gani kiliji kuliko kubuni tu kwa kuongeza chumvi vitu vingine. JK awezi kukusanya watu tu out of the blue na kuongozana nao kwenda Ulaya kula Biriani, tukiweka maanani kwamba safari hizi huwa zina andaliwa mapema sana kwa kuchagua watu ambao wanatakiwa kusafiri naye kwa manufaa ya TAIFA na sidhani kama yeye anahusika na taratibu hizo moja kwa moja.

Huwa na shangazwa sana na comments kwamba JK anapendelea kusafiri sana nchi za nje, huyu mtu aliwahi kuwa Waziri wa mambo ya nchi za nje, kakaa pale miaka kumi - kama kusafiri nchi za nje kasafiri sana, leo hii akatakuwa na ulimbukeni gani wa kuchangamkia safari za nje zisizo na tija!

Wakati mwingine tunapashwa kuendana na facts and figures - hivi tukifanya mahesabu ya gharama za safari zake za nje na delegation zake tukalinganisha na faida zilizo patikana kutokana na safari zake hizo, mfano:Misaada, ujensi wa Mahospitali ya kisasa (magonjwa ya moyo, urology,na neva - matibabu yote yanayo patikana kwenye first world ameyaleta Tanzania), vyuo vikuu vya Kisayansi na Technologia (viko viwili Tanzania Dodoma na Arusha) the list is endless - hebu niambie sum total ya vitu hivyo ni ngapi? leo hii mtu unaweza kuwa na nerve ya kumsema! tuwe wakweli bila ya kuwa na ushabiki wa siasa.

Bukyanagandi,

Ninaomba utupe takwimu unazozijua wewe kuwa ni sahihi tofauti na alizoziandika mtoa mada ambaye ametoa takwimu na yuko precise. Tunahitaji ujustify utetezi wako kwa takwimu za kueleweka na si kubahaatisha kwa Mfano:-

Kikwete hajasafiri mara mia tatu na zaidi ila amesafiri mara kadhaa.

Siyo Raisi anayeshikilia nafasi za juu za maraisi watalii duniani ila anashika nafasi fulani akitanguliwa na maraisi fulani fulani na fulani.

Msafara wa Uingereza haukuwa na watu 40, ila alikuwa na watu kadhaa. AMA, Hao watu 40 aliokwenda nao uingereza ni watu fulani na walikuwa na umuhimu fulani katika hiyo safari. (Siyo kusema pengine...yawezekana.... labda....).

Unatakiwa kutetea kwamba matembezi ya kikwete hayana madhara katika mgawanyo na matumizi ya raslimali kwa sababu......

Pengine utusaidie kutupa mwanga kwa nini anakwenda yeye na hiyo misafara wakati nchi nyingi tunabalozi zetu kule au kwa nini asitume uwakilishi ambao unaweza ukafanya hizo shughuli kwa gharama nafuu kuliko anazotumia yeye na wapambe.

Lakini pia utuambie, maslahi gani ambayo nchi imenufaika na safari za kikwete, ambayo yanazizidi nchi maskini zinazohitaji misaada kama sis ambazo maraisi wake hawavinjari kama huyu wa kwetu.

Ni vizuri pia ukatuambia mafanikio yaliyotokana na utalii huo ambayo yamekuwa yaki pekee na ya juu zaidi kuliko yale yalyopatikana katika awamu ililyopita ama zilizopita ambazo hazikuwa na maraisi wa aina hii ya sasa.

Naomba usiwe imotional. Jaribu kuwa reasonable, analytical, fair but sincere. Lakini pia naomba ufahamu kwamba, kuwa waziri wa mambo ya nchi za nje kwa miaka kumi ama kuwa raisi, hakubadilishi tabia ya asili ya mtu. Atabaki kuwa ni yule yule na tabia zake kama ni kujirusha na mademu, kutalii, kustarehe, kujionyesha na mbwembwe, ubinafisi, visasi, uchapa kazi, hila za kichini chini, udanganyifu, uadilifu, unafiki, ufisadi, n.k hata umpe cheo gani. Sana sana ataonyesha hadharani yale yanoyokubalika ili apigiwe makofi na yale yasiyokubalika atayatafutia mikakati ya kuyatekeleza kwa usiri lakini hatayaacha!.

Katika masuala haya naomba tufahamu kwamba yapo yenye yanayokidhi haja za taifa, na pia yapo yenye maslahi na yanakidhi haja za mtu binafsi.

NDIYO MAANA MIMI NASEMA, NI VIZURI KUWA NA MTU SAHIHI KWA KAZI FULANI, NA SI MTU YEYOTE HATA KAMA HANA SIFA SAHIHI SAHIHI UKITEGEMEA KWAMBA OFISI UTAKAYOMPA ITAMBADILISHA NA KUMFANYA AWE SAHIHI.
 
Oh my, oh my!! - Nimekusikia mkuu nipe muda ntakujibu, lakini kama sifa ulizompa JK kwenye last but two paragraphs ni za kweli basi "he must be a master of disguise than HUODIN (which I doubt)"
 
Kiongozi ukifanikiwa kumtetea JK kwenye hili utakuwa jiniaaz sana.
Lile la "anaenda kuhemea" usilisahau
 
Hi Tabby,

Kabla sijakujibu nataka tuelewana kwanza katika mambo yafuatayo:

1. Mazungumzo yetu yawe confined kwenye safari za Mh. J.M.Kikwete kama zinaleta faida kwa Taifa au zinatutia hasara, that should be our main theme. Tusichanganye mambo.
2. Tusizungumzie mambo ya maisha yake Binafsi kwa kuwa hayatuhusu, na Wazungu wana msemo usemao kwamba “kama huna mambo mazuri ya kumsema/kumzungumza binadamu mwenzako ni vizuri kukaa kimya” au umshauri kwa upendo.
3. Mimi sitazungumzia mambo ya leadership quality zake au jinsi anavyo wateuwa viongozi wenzake wakumsaidia, yeye ndiye mwenye mahamuzi ya mwisho katika hilo na sisi tulimpa ridhaa ya KUTUONGOZA-don’t you forget. Kama kuna kitu cha kujadili katika hilo basi kiletwe kwenye thread nyingine tusichanganye MAMBO.

Nataka nikumbushie kwamba kila raia ana uhuru wa kutoa maoni katika fani ambayo ana ujuzi nayo, mimi humu nimezungumzia fani ninayo ielewa vuziri siyo mambo ya siasa au sijuhi itikadi. Baada ya kutafakali kwa muda mrefu niliamua kufanya tathimini ya thamani ya misaada ya kisayanzi na tekinolojia ambayo imeletwa nchini kufuatia effort za JK mweyewe, nazo ni kama zifuatavyo:

  • Ujenzi na ukarabati wa Mahospitali ya kisasa including vifaa/mashine za dunia ya kwanza.
  • Vyuo Vikuu(sayansi na technolojia na vifaa vya kufundishia vyote).
  • Barabara (especially flyover na RT ambazo ziko mbioni kujengwa).
  • Reli (anazo taka kuzifufua namely TAZARA na reli ya kati-Reli ya kati anataka kutandaza reli na mataruma mapya na kuiweka kwenye standard gauge, mtu uwezi kubeza Mega Project za magnitude kama hizo, ni gharama kubwa - najuwa hapa watu watasema hizo ni ahadi tu hakuna litakalo fanyika - you are DEAD WRONG, mbona Tazara watahanza hivi karibuni).
  • Alizungumza na kupata misaada kutoka kwa kina Bill Gates wa kampuni ya Microsoft kwa ajili ya vyuo vikuu, vile vile na IBM.
  • Aliwahi kutembelea mpaka Silicon Valley na kufanya mazungumzo na makampuni yaje kuwekeza Tanzania-nilimsikiliza vizuri alicho zungumza huko, yuko commited kweli kweli kuendeleza Taifa letu katika fani ya sayansi na technolojia na yuko well informed katika nyanja hizi na anajua manufaa ya sayansi na tekinolojia nchini.

Natoa ufafanuzi katika hili kwa kuwa nami ni mwana sayansi kwa hiyo siwezi kubeza effort zake kweye fani ninayo ielewa vizuri in terms of gharama za ku-establish vitu kama hivyo nchini ni gharama KUBWA, ndiyo maana mimi siko overly concern na safari zake kama zina manufaa kwa TAIFA naona ni HERI tu, watu wengine wanaweza kuwa na maoni tofauti.

Juzi juzi hapa nilimuona anazungumza na mwakilishi wa kampuni ya DELL, mwaka jana mama Clinton alipo tembelea Tanzanai nilimsikiliza alicho kuwa anazungumza kumuhusu Kikwete na kwa nini Kampuni ya Symbion imeamua kuja kuwekeza nchini na kutoa mafunzo kwa vijana kule Kidatu, vile vile nafikili Kikwete alikuwa Raisi wa kwanza au wa pili kutoka Africa kukaribishwa White House baada ya kuapishwa Raisi Obama-the question is, why pick JK - one may ask? hawa watu awafanyi mambo ya kubahatisha-kuna kitu watakuwa wamemtathimi ambacho wengi wetu hatukioni. (Please no name calling tuwe wastaraabu kidogo).

Kuna mwana JF aliuliza hivi "kuna haja gani ya JK kwenda nje wakati kuna Mabarozi ambao wanaweza kumuwakilisha", mimi mambo ya protocols siyaelewi vizuri, lakini kwa akili za kawaida Raisi wa nchi akienda physically kuomba misaada iwe kutoka kwa Raisi mwenzake au makampuni, ombi lake litachukuliwa seriously kuliko la BAROZI.

Mwisho labda niseme kwamba JK ni binadamu kama wewe na mimi siyo malaika, anaweza kuwa na mapungufu yake kama tulivyo sisi sote-tumpogeze pale inapobidi na tumshauri pale inapobidi aipendezi kumbeza beza bila ya kutoa ushauri wowote. Nazungumza ninayo practice mimi-kwa mfano nimetoa maoni/ushauri wangu wa kina kuhusu TAZARA nini cha kufanyika kuiboresha-siyo lazima wachukue maoni yangu lakini I have played my part, nataka niwahakikishieni kwamba tukiwa na moyo wa kusaudia/kutoa maoni pale inapobidi mbona TAIFA letu litapiga hatua kubwa ya kwenda MBELE.
 
Kiongozi ukifanikiwa kumtetea JK kwenye hili utakuwa jiniaaz sana.
Lile la "anaenda kuhemea" usilisahau

Mkuu nakubaliana nawe anakwenda kuhemea, swali ni je - anahemea kwa manufaa ya nani? Hebu tafadhali soma nilivyo mjibu Mr.Tabby. ASANTE.
 
Back
Top Bottom