Kikwete for East African president

Nabii hakubaliki nyumbani, JK anaweza sana, ndiyo maana pamoja na fitina, chuki binafsi, wivu, uchu wa madaraka ya baadhi ya watu, hujuma dhidi yake, yote hayo hayamnyimi usingizi na bado tunasonga mbele kwani angekuwa mtu wa papara ungesika mara fungia gazeti fulani, mara kamata yule weka ndani kwa kumkashfu Rais n.k. BIG UP JK.

Dah!!!! Ukistaajabu ya Mussa utaona ya magamba!!!!! Eti Kikwete anaweza sana! pamoja na ushahidi chungu nzima ambao unaonyesha kwamba Urais umemshinda tena kwa kiwango kikubwa sana.
 
Heri mnipendekeze mimi kuwa rais wa Afrika mashariki kuliko Vasco da Gama. Janja ya jamaa zetu kutaka mteremko tunaijua sana. Tumewastukia. Heri Lucy Kibaki awe rais wa EAC ili awachakaze makonde mafisadi hasa waliotamalaki Tanzania. Tukiishiwa basi tunaweza kumpa ukanda Kamlesh Pattni yule fisadi aliyetaka kuifilisi Kenya chini ya Moi. Au unaonaje tukampa huu ulaji Kalonzo Musyoka maana naye ni handsome?
 
We mze majuto umeandika ujinga gani huu????? Au unataka uishi kama jina lako lilivyo? Huku twajuuuuta hata kumfahamu tu huyo kituko unayetaka awe EA president!!! You make me wanna puke!!!!
 
Nabii hakubaliki nyumbani, JK anaweza sana, ndiyo maana pamoja na fitina, chuki binafsi, wivu, uchu wa madaraka ya baadhi ya watu, hujuma dhidi yake, yote hayo hayamnyimi usingizi na bado tunasonga mbele kwani angekuwa mtu wa papara ungesika mara fungia gazeti fulani, mara kamata yule weka ndani kwa kumkashfu Rais n.k. BIG UP JK.

He amekuwa nabii? Toka lini?? Au unabii wake ni wa kutudidimiza wakati akishindana na Vasco da Gama?
 
We mze majuto umeandika ujinga gani huu????? Au unataka uishi kama jina lako lilivyo? Huku twajuuuuta hata kumfahamu tu huyo kituko unayetaka awe EA president!!! You make me wanna puke!!!!

Nawe naye acha kumtusi mwenzie..
kasema kabisa hapo juu kuwa ye ni mkenya.

if you want to puke go ahead .. you have no reason to tell him off..
probably he doesn't even know anything about JK... ...
 
Hivi Kikwete ndiye aliyesuluhisha ugomvi wa Kenya? That is news to me. Na kukutana na Obama baada ya kuilipa kampuni ya Andrew Young dola laki tano kumfanyia lobby ili mkutano huo uwezekane ni jambo la tija? Uncle Sam did not pick Kikwete. Kikwete paid for the opportunity to have a picture taken with Obama, with taxpayers money.

Nadhani hizo vices tano zinakuhusu wewe. Hivi hayo majungu yanakupeleka wapi. Jiangalie kwenye kioo, halafu jiambie na mimi kwa majungu nimelogwa. you're funny & makes people to laugh as if they have't cried. Difficultis in your life do not come to destroy u..SS
 
Acheni dhihaka.
United East Africa my a.s.s!
Tanganyika na Zanzibar imewashinda, manoengelea muungano wa nchi tano!
Alaf ndo iongozwe na nazi!
 
Mleta mada kwanza si mkenya.
Ni gamba ambalo linajaribu kudivert attention ya wanajamvi kuhusu umbumbumbu wa Kikwete
 
Back
Top Bottom