Kikwete: CCM tumejenga Shule za Kata

Kikwete: CCM tumejenga Shule za Kata

Hute

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,537
Reaction score
6,479
naangalia hapa live mkuu wa kaya akiwa lindi, ametoa mojawapo ya mafanikio kuwa "TUMEJENGA SHULE ZA KATA", amesahau kuwa shule hizo zilijengwa kwa nguvu ya lowasa, na tangu ajiuzulu hawajaziendeleza miaka 8 imeisha. hivi nani wa kuchukua credit kwenye suala la shule za kata? lowasa ameingia miaka miwili kafanya mabadiliko rundo, akajiuzulu na yote aliyokuwa ameyaanzisha hayajaendelezwa hadi leo.

Jaribu kutafakari.
 
Mbona hizi shule zilijengwa na wananchi??
 
Shule za Kata Ni Wazo La lowassa, Na Kwa Kuwa Anaenda kuwa Rais Wa JMT, Atamalizia Kwa Kuwaeleka Mwalimu Wenye

Ubora ambao Naamini Mshahara Mnono Utawafanya Waipende kazi yao Hiyo na Wataongeza ufanisi Mashuleni.
 
Laiti angejua kwamba yeye mwenyewe anajidhalilisha.Kwa kweli, kwa watu wenye akili za kawaida tuu, shule za kata ni janga la elimu na matusi kwa watanzania.Angekuwa analijua hili,hata kuzitaja asingezitaja.
naangalia hapa live mkuu wa kaya akiwa lindi, ametoa mojawapo ya mafanikio kuwa "TUMEJENGA SHULE ZA KATA", amesahau kuwa shule hizo zilijengwa kwa nguvu ya lowasa, na tangu ajiuzulu hawajaziendeleza miaka 8 imeisha. hivi nani wa kuchukua credit kwenye suala la shule za kata? lowasa ameingia miaka miwili kafanya mabadiliko rundo, akajiuzulu na yote aliyokuwa ameyaanzisha hayajaendelezwa hadi leo. jaribu kutafakari......
 
hizo shule lowasa angeendelea kuwa waziri mkuu, zingekuwa bora sana hadi leo, lakini miaka minane yote zimekuwa shule zilizokosa mtendaji na kuproduce failures kibao.
 
Lowassa alifanya mambo makubwa ndani ya muda mfupi, hasa ktk sekta za elimu, maji, miundombinu.
Angebaki japo miaka 5, tungekuwa zaidi ya Kenya
 
Ndiyo maana sikutaka kuchangia maabara kwa upumbavu kama huu,shule za kata tumejenga kwa mikono yetu wenyewe tayari CCM wameshaanza kupongezana kuwa wao ndio waliojenga wanataka kutupeleka kulekule kwenye viwanja na sekondari za wazazi.
 
naangalia hapa live mkuu wa kaya akiwa lindi, ametoa mojawapo ya mafanikio kuwa "TUMEJENGA SHULE ZA KATA", amesahau kuwa shule hizo zilijengwa kwa nguvu ya lowasa, na tangu ajiuzulu hawajaziendeleza miaka 8 imeisha. hivi nani wa kuchukua credit kwenye suala la shule za kata? lowasa ameingia miaka miwili kafanya mabadiliko rundo, akajiuzulu na yote aliyokuwa ameyaanzisha hayajaendelezwa hadi leo. jaribu kutafakari......
kwa sisi kina gogo la shamba hapo tunaona hakuna tofauti ya jinsi walivyojimilikisha uwanja wa shekh Amri Abeid wa Arusha japokuwa uliengwa kabla ya ccm kuwepo, shule za kata ziliengwa na watanzania wote bila kujali itikadi za chama
 
Laiti angejua kwamba yeye mwenyewe anajidhalilisha.Kwa kweli, kwa watu wenye akili za kawaida tuu, shule za kata ni janga la elimu na matusi kwa watanzania.Angekuwa analijua hili,hata kuzitaja asingezitaja.

ahaaaaaa umenichekesha na neno mkuu wa kaya! Loh kikwete hawezi kuwa mkuu wa kaya! Mkuu wa kaya ni yule mwenye kufanya majukumu yotee na kutoa maamuzi yenye maadili je jk ana izo sifa?

Karibu mkuu wa kaya mtarajiwa lowassa.

Anyway wewe ni nani? Ulivosema mtu mkuu wa kaya basi nikakumbuka kitu
 
CCM HAIKUJENGA SHULE ZA KATA jamani viongozi wetu msipende kuwadanganya wananchi no aibu. Kwa kiongozi .
 
shule za kata zimejengwa na wananchi kwa msukumo wa lowasa wakati akiwa waziri mkuu.
 
[h=5]Yericko Nyerere
[/h]1 hr ·

PROFESOR LIPUMBA YUPO KIGALI RWANDA NA AMEPANGISHIWA HOTEL CHINI YA OFISI YA UBALOZI NCHINI RWANDA.
HABARI ZA KIJASUSI ZINATHIBISHA KUWA NI MOJA YA MAKUBALIANO YA KIKAO CHA SIKU MBILI MFULULIZO OFISI NDOGO YA LUMUMBA MUDA MFUPI KABLA YA KUJIUZURU. HABARI ZA KIJASUSI PIA ZINATHIBISHA KUWA ACCOUNT YAKE ILIYOPO NMB IMEWEKEWA JANA KIASI CHA SHILINGI BIL. 3.5 ALIYEWEKA NI AFISA WA WALE WA SUTI NYEUSI AKISINDIKIZANA NA MMOJA WA MAOFISA FEDHA NA UCHUMI WA CCM NA FEDHA IMEWEKWA KUPITIA TAWI LA TEGETA LILILOPO JENGO LA KIBO COMPLEX
 
Duuu!!!hili taifa hili hizi hela niza ccm au ndo kodi zetu.?
 
Back
Top Bottom