Kikwete & CCM mbona mnaikacha Houston, Tx? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete & CCM mbona mnaikacha Houston, Tx?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SHERRIF ARPAIO, Aug 30, 2010.

 1. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2010
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 6,860
  Likes Received: 1,647
  Trophy Points: 280
  JK na watu wa sirikali yako esp. CCM, mbona mkija huku ughaibuni mnaishia DC tu na tukiwaalika mje Houston, mnakacha. Lakini mkialikwa Minneapolis, NY, CA etc mnaenda.
  Tumeujulisha ubalozi wa Tanzania hapo DC kuwa mheshimiwa akija na aje H-Town, tuko tayari kumlipia mafuta ya jet yake, navigation & parking fees, chakula na malazi yake na delegation yake...lakini JK na CCM wote mnaogopa H-town. Kulikoni?
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  HOUSTON INA MANUFAA GANI NA Tanzania?
   
 3. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2010
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 1,974
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Hakuna mwana siasa Duniani ambaye haigopi Texas, from Sadaam to Kikwete!. Deal zote chafu zinaanzia Texas Richmond iko wapi? Texas!. Watu wa Houston hawacheki hivyo kikwete hawezi kuja hapa wakati hana majibu ya uhakika anapenda watu wanaovaa bendera na kucheka kila wakati. Tanesco inataka kuongeza bei ya umeme wakati jamaa wa Richmond yuko hapa anakula pesa ya Watanzania kikwete hataweza kujibu maswali Texas is too real for him. Mikataba ya mafuta yote inatoka hapa Houston, TX,
   
 4. M

  Malyamungu JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2010
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duu Kamundu umempa real
   
 5. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2010
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 6,860
  Likes Received: 1,647
  Trophy Points: 280
  Thumbs Up, Kamundu!! Don't mess with Texas!
   
 6. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2010
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 6,860
  Likes Received: 1,647
  Trophy Points: 280
  Mkuu, Waambie CCM and JK watie timu hapa ndio utaona manufaa ya H-town kwa Tanzania
   
Loading...