Kikwete bado anatufaa kwa miaka 10 zaidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete bado anatufaa kwa miaka 10 zaidi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kivia, Dec 31, 2010.

 1. K

  Kivia JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 278
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kikwete bado anatufaa na tutaomba aongezewe muda baada ya kipindi chake kwisha. Madudu mengi yaliyopo yalifanywa na watangulizi wake. Iweje alaumiwe yeye ?
   
 2. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 649
  Trophy Points: 280
  umetumwa.
   
 3. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kwanza unakubali kuwa kuna "madudu", hapo hapo unatamka kana kwamba madudu hayo hayatatuliki na yalisababishwa na waliopita. Sasa hapo hauoni kuwa unakubali kinyemela kuburuzwa na asiyeweza kutatua madudu ya waliomtangulia, au..??!!
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Dec 31, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Crap ya MWaka 2010 ndo hiii
   
 5. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #5
  Dec 31, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mh!Toka ujue kuweka AVATOR imekuwa tabu tupu,mara bikira maria,mara Zitto,sijue kesho utaweka ipi?Duh kweli wewe ni mtata sana!!
   
 6. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #6
  Dec 31, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Muongezeeni muda wa kuwa shekhe wa misikiti yenu,lakini siyo nchi hii!!Hii siyo nchi ya kiislamu!!
   
 7. Diehard

  Diehard JF-Expert Member

  #7
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Mkapa alifanya madudu tunachotaka Mkapa akamatwe ashitakiwe, ahukumiwe afungwe au anyongwe. Kama Kikwete hafanyi haya hafai na anatakiwa achukuliwe hatua.

  Kisha ukiacha hayo madudu ya mkapa Kikwete bado kafanya mijidudu yake kama kusamehe waliorudisha pesa za EPA hapa alivunja katiba yeye anaruhusiwa kusamehe waliohukumiwa.

  Tunakuja kwenye issue ya Richmond na dada yake Dowans huyu DR DR DR hajawachukulia hatua wahusika zaidi ya kutaka kulipa 185Billion pasipo sababu za msingi.

  Ni rais wa kwanza tanzania kudanganywa mara nyingi
   
 8. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #8
  Dec 31, 2010
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Naogopa nisilimwe ban
   
 9. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #9
  Dec 31, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kumbe katoliki ndiyo inayokusumbua akili,pole sana!wewe na kikwete wako hamna ubavu wa kupambana na ukatoliki.Ukatoliki ulikuwepo,upo na utaendelea kuwepo kwa hari zaidi,nguvu zaidi,na kasi zaidi!Walishindwa kuuangamiza akina hitler(German),Joseph Stalin(Urusi) waliokuwa na nguvu kubwa za kijeshi,itakuwa wewe na JK wako,hamtoweza kamwe!!!
   
 10. l

  limited JF-Expert Member

  #10
  Dec 31, 2010
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 300
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  KULAUMIWA KWAKE NI LAZIMA KAMA ALIKUTA MADUDU KABALA YAKE ALIYASHUGHULIKIA VIPI? AU NAYEYE AKAENDELEZA MADUDU PLUS PLUS:hungry:redfaces::redfaces::redfaces::teeth::teeth::redfaces:
   
 11. K

  Kivia JF-Expert Member

  #11
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 278
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Jk ni CHAGUO LA MUNGU, KWA MANA HIyo amefunuliwa kuwa asiwafikishe mahakamani. Maono hayo kwa chaguo la mungu yamesema ukimshitaki bwana Ben. Mkapa patatokea balaa kutoka hawahawa wanao kushinikiza.AHSANTENI SAANA TUKUTANE MWAKA UJAO 2011.
   
 12. Afrika Furaha

  Afrika Furaha JF-Expert Member

  #12
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sasa nani awaondoe hao wasaidiz wake? Pamoja na kuiba, unafikiri ukifanyika Uchaguzi Mkuu leo hii kati ya Mkapa na JK nani atakuwa winner??

  Kwenye uchapa kazi, sioni ulinganifu kati ya hao wawili. Toooooofauti kabisa.
   
 13. Davesto

  Davesto JF-Expert Member

  #13
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 350
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 60
  ningekuwa mzazi wako nngekubadilisha na chekatime we urgent.
   
 14. d

  dotto JF-Expert Member

  #14
  Dec 31, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Richmond, mkataba na BArick madudu ya nani!!
   
Loading...