Malecela sio Mungu mtu, atatajwa kama wengine.
Sina haja ya kubishana na nyie,
- Mkuu sina uhusiano wowote na Malecela, nilifkiri ulichokifanya sasa cha kuhisia na ku-specualte Id ya member mwingine bila ukweli ni automatically unatakiwa kufungiwa, au?wewe FMES muulize mzee wako atakueleza kuhusu ubaguzi wake. Hafichi kwa watu wake wa karibu.
- Labda huwa mnafikishina salam kama unavyoisema mwenyewe, hapa tunajadili hoja na sio kutumia nguvu bila akili kichwani ndio maana panaitwa a home of Great Thinkers, sasa sio siri kwamba upo mahali pasipokuhusu, unafikiri tunatumia mizinga bila akili, kumbe hapa ni watu wenye kutumia akili,Mpe salam zangu na mwambie ukifika wakati na ikibidi mizinga itatumika...
Mkuu wacha tupige angle zote haina noma wala nini.Malecela alishamu endorse Kikwete ni sawa na kusema wanaopinga 2nd term ya Kikwete wanapingana na Malecela pia kwahiyo ni walewale tu.
- Umeombwa sana useme Malecela alichosema huko kamati kuu cha ubaguzi, lakini ulichofanya ni kubadili IDs tu na maneno ya vichochoroni, sasa tizama a great thinker eti labda angekuwepo mwenyewe, ndio Kikwete anaita 70% bendera fuata upepo, yaani unarukia maneno ambayo wewe mwenyewe unakubali sasa kwamba hujui tafsiri yake, pole sana mkuu waambie waliokutuma kwamba hakuna aliyelala hapa, na sio wote hapa tumo kwenye hilo kundi la 70% kama wewe yaani kufuata tu maneno ya Mwalimu bila kufikiri mwenyewe, sometimes muwe mnaona aibu kuja humu kwenye Great Thinkers! Bwa! ha! ha! eti ukada upinzani pumba tupu!Na siyo siri Mwalimu alimwita Malecela muhuni.Sasa alikuwa na maana gani hatujui,labda angekuwa hai mwenyewe alifafanue hili ila sababu yake ipo.
Kikwete awaweka pabaya wakosoaji wa serikali yake
Great thinker like Nyerere hakukosea kumuita muhuni. Ataficha makucha yake ya ubaguzi sasa lakini rekodi za maneno yake ya kibaguzi zipo. Hii ni sababu iliyofanya aanguke 2005.
Great thinker (to be?) historia ipo haiwezi kubadilishwa na maneno.
Maneno gani? kwani mimi sio mjumbe wa hivyo vikao na hivyo ukinielewesha naweza kukuamini ,ila ukiishia hapo ntalazimika kuyapuuza maneno yako.
Mkuu kwani umehudhuria vikao vyote na hujawahi kukosa hata kimoja? Usije tu ukaanza kuuliza kuwa kikao gani mjumbe alisema harusi ya Malecela ilifadhiliwa na Jeetu Patel mtuhumiwa wa wizi wa fedha za EPA!!