Kikwete awasili South Africa

Kikwete awasili South Africa

Status
Not open for further replies.
Mzee wa Israel nae anatumia fedha za wasiolipa kodi, maana J.K mnasema anatumia fedha za walipa kodi. Magari na fedha mlizompelekea Raila hivi ni za wasiolipa kodi eti!
 
Dr. Slaa amesharudi kutoka Israel?

Na Mh. Mnyika naye amesharudi kutoka UK?

Mwenye record na budget ya safari zao (Dr. Slaa na Mh. Mnyika) ninaomba anisaidie kuziweka hapa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Record hizo mbona zipo Lumumba kwa Shonza na Mwampamba ongea nao. Kwa taarifa yako Shonza ni mtunza fedha mwandamizi wa matumizi yote mabaya ya CDM
 
Arudi na Balozi Msuya wake maana anadhalilisha taaluma ya kibalozi!
 
Dr. Slaa amesharudi kutoka Israel?

Na Mh. Mnyika naye amesharudi kutoka UK?

Mwenye record na budget ya safari zao (Dr. Slaa na Mh. Mnyika) ninaomba anisaidie kuziweka hapa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

hata nami nimerudi toka Namibia
 
Anayehoji safari za Wenje Mnyika Mbowe na Slaa hana akili! Wao wanatumia ruzuku za chama, sisi tunahoji huyu atumiaye kodi za wananchi!

halafu wote kwa umoja wao hata 0.00000000000001 ya safari zote za mkuu wetu wa kaya hawafikishi!!
 
Anayehoji safari za Wenje Mnyika Mbowe na Slaa hana akili! Wao wanatumia ruzuku za chama, sisi tunahoji huyu atumiaye kodi za wananchi!

Ruzuku hazitokani na kodi za wananchi?
 
Dr. Slaa amesharudi kutoka Israel?

Na Mh. Mnyika naye amesharudi kutoka UK?

Mwenye record na budget ya safari zao (Dr. Slaa na Mh. Mnyika) ninaomba anisaidie kuziweka hapa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mkuu, usipoze mambo kihivyo! Ukijua ya hao unataka uwalinganishe na nani? Kikwete kazidi!
 
amepokelewa na mwamvita,moja ya shughuli atakazofanya akiwa sa ni kujionea na kusikia malamiko juu ya balozi wa tz nchini sa,na by the way kama muda utaruhusu atamtembelea kibanda ili aweze kunogesha hotuba ya mwisho wa mwezi

Huu ni ujinga na matumizi yasiyo sahihi ya fedha za umma, rais anakwenda kusikiliza malalamiko juu ya balozi???, waziri wa mambo ya nchi za nje anafanya kazi gani ama ametafuta sababu ya kusafiri. Bora angeenda Venezuela kuhani msiba wa Hugo Chavez
 
Nimeshangaa Venezuela hakwenda kwenye mazishi yachavezi.
 
Dr. Slaa amesharudi kutoka Israel?

Na Mh. Mnyika naye amesharudi kutoka UK?

Mwenye record na budget ya safari zao (Dr. Slaa na Mh. Mnyika) ninaomba anisaidie kuziweka hapa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Budget!!!!?? MaCCM bana, hata kutoa hoja hamwezi aise! its too low bra!
 
Anayehoji safari za Wenje Mnyika Mbowe na Slaa hana akili! Wao wanatumia ruzuku za chama, sisi tunahoji huyu atumiaye kodi za wananchi!

User name unayotumia, na yanayokutoka mdomoni havifanani hata kidogo!
Hivi ruzuku ya chama unadhani ni pesa kutoka mbinguni ?
Ni mgawanyiko wa majina tu , mkuu! Fedha yote itokayo serikalini vyanzo vyake ni kodi za wananchi, ama toka kwa wafadhili, tumia akili mkubwa.
Cha kushangaza unawaambia wengine watumie akili, wakati ya kwako inahitaji msaada.
 
amepokelewa na mwamvita,moja ya shughuli atakazofanya akiwa sa ni kujionea na kusikia malamiko juu ya balozi wa tz nchini sa,na by the way kama muda utaruhusu atamtembelea kibanda ili aweze kunogesha hotuba ya mwisho wa mwezi
Mwavita? Yule si alishaolewa na yule babu wa kikaburu? Halafu kwa kibanda ameongozana na nani isije kuwa yupo na afande Rama Ighondu?
 
Kinana ametoka kenya lini wakti yeye ni mwakilishi wa EAC
 
Dr. Slaa amesharudi kutoka Israel?

Na Mh. Mnyika naye amesharudi kutoka UK?

Mwenye record na budget ya safari zao (Dr. Slaa na Mh. Mnyika) ninaomba anisaidie kuziweka hapa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Zikusaidie nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom