Pamoja kwamba watanzania na polisi kwa ujumla wamepata msiba, kifo cha RPC lakini Kikwete ameondoka kwenda Muscat hata kabla mwili haujazikwa. Kifo ni jambo la kawaida lakini kifo cha RPC kilikuwa si cha kawaida, si jambo la busara kuacha nchi ikiwa na hali kama hii ya kifo pia na machafuko ya kidini.
sio msiba tu kuna makanisa saba yamechomwa na hali haijatulia,huyu kuna siku atarudi bongo atakuta amepinduliwa ndio atakomami nashangaa kaondoka wakati kuna msiba
Pamoja kwamba watanzania na polisi kwa ujumla wamepata msiba, kifo cha RPC lakini Kikwete ameondoka kwenda Muscat hata kabla mwili haujazikwa. Kifo ni jambo la kawaida lakini kifo cha RPC kilikuwa si cha kawaida, si jambo la busara kuacha nchi ikiwa na hali kama hii ya kifo pia na machafuko ya kidini.
amewahi farasi wengine Oman hujaona mkuu tena kule wapo weni na mmoja mweupe halafu ni wengi so now angependa kuendelea kusafisha macho.But nimepata shida alivyokuwa anashangaa kwenye Kasri la mfalme isivyokawaida.
kwani kuondoka yeye ndo amebeba na watendaji wote? isitoshe kabla ya kuondoka alitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa marehem na kuongea lolote kama kiongozi wa nchi, sasa wewe ulitaka akae tu na maiti, akili yako ni fupi sana. nina wasix2 na uelewa wako.Pamoja kwamba watanzania na polisi kwa ujumla wamepata msiba, kifo cha RPC lakini Kikwete ameondoka kwenda Muscat hata kabla mwili haujazikwa. Kifo ni jambo la kawaida lakini kifo cha RPC kilikuwa si cha kawaida, si jambo la busara kuacha nchi ikiwa na hali kama hii ya kifo pia na machafuko ya kidini.
Acha kutuchefu hapa. kafa nani? huyo ni nani nchi hii? mimi akifa polisi yeyote ni furaha kwa kwenda mbele.mbona wao walimuua MWANGOSI tena akiwa amevaa kitambulisho!! mimi na polisi, ccm aah no,no,no.
Pamoja kwamba watanzania na polisi kwa ujumla wamepata msiba, kifo cha RPC lakini Kikwete ameondoka kwenda Muscat hata kabla mwili haujazikwa. Kifo ni jambo la kawaida lakini kifo cha RPC kilikuwa si cha kawaida, si jambo la busara kuacha nchi ikiwa na hali kama hii ya kifo pia na machafuko ya kidini.
Unajua nilidhani ni mimi tu niliyekuwa naona jinsi prezida wetu anavyoshangaa pale kwenye kasri la kifalme, mpaka nikawa najiuliza sasa kwa nini asishangae kimtindo kwa kuibia, lakini mtu anashangaa mpaka watu wanamshitukia kuwa anashangaa nao wanaanza kumshangaaShida ni kwamba Mh.Rais amechoka matatizo yetu but what he is doing ni kubuy time yetu.Msiba wa Kamanda Barlow ni msiba mzito sana ikizingatiwa yeye ni amiri jeshi mkuu wa nchi so anapokimbia watoto wake kidogo inasumbua sana kichwani.Lakini wenzetu wa jeshi la Polisi wanafaham zaidi juu ya hili na yamkini mapokeo yao ni tofauti nasi.ila kushangaa ni jambo la kawaida ila ukishangaa mpaka mtu mwingine akashangaa ushangaaaji wako ni tatizo.Yule ni kiongozi wetu wa nchi tunaamini kuna mambo kwake ni kawaida tukizingatia kuwa keshatembea sehem kubwa ya dunia so kasri la Sultani haliwezi kumshngaza kiasi cha kumtoa kwenye Concentration ya mazungumzo.Msiba tulonao ni msiba mzito kwa jeshi la polisi ukizingatia mazingira ya kifo chenyewe.Rais alitakiwa kuonesha kukerwa na kuumizwa na hali hiyo but kaona sawa tu bora ughaibuni!
ama kweli watanzania ni watu wa ajabu, akiudhuria misiba mnamsema, asipoudhuria mnamsema duuuh kweli ubinadamu kazi na undugu lawama.
Sidhani kama huyo Baro alikuwa mtu mkubwa tanzania hii mpaka uwepo ulazima wa raisi kuhudhuria msiba wake. Kwanza sijaelewa mantiki ya maiti yakee kuletwa dar kabla ya kupelekwa kilimanjaro naona tu ni kukuza mambo na kutumia ela ya serikali bure.
Si kila msiba lazima raisi audhurie mimi nadhan raisi inabidi audhulie misiba ya viongozi wakubwa zaidi na watu walio fanya kazi maalumu na zenye kusifika kwa taifa hili.
Hillo hata mimi kwakweli limenipa shida maana Vasco Da Gama na Membe macho yalikuwa yamewatoka wakishangaa hilo kasri.Sijajua ni kitu gani kilikuwa kimewavutia hivyo our tourist president na Jamaa yake Membe?amewahi farasi wengine Oman hujaona mkuu tena kule wapo weni na mmoja mweupe halafu ni wengi so now angependa kuendelea kusafisha macho.But nimepata shida alivyokuwa anashangaa kwenye Kasri la mfalme isivyokawaida.