Nakushukuru Ribo kwa kutambua kuwa kumbe Forodhani ilikuwa St. Joseph hapo kabla!. Kwa kukusaidia tuu, Pugu ilikuwa St. Francis, Minaki ilikuwa St. Andrew!. Tambaza ilikuwa HH Aga Khan Boys na Zanaki ilikuwa HH Aga Khan Girls, Kisutu ilikuwa DA Girls, sijui Azania na Jangwani zilikuwa nini?.Naona hujui kuwa Forodhani ilikuwa St. Joseph kabla ya kuwa Forodhani.
Kama kuna kitu kinachofanya nizidi kumpenda na kumthamini Kikwete na nna uhakika ni hicho-hicho kinamfanya azidi kuchukiwa na wengine ni pale alipoweza kuutafuna mfupa uliomshinda fisi.
Jakaya Mrisho Kikwete ameweza kuvunja monopoly ya mashule iliyokuwa ikihodhiwa na Makanisa. Shule nyingi sana za Secondary zilikuwa za Kanisa au ziko chini ya Kanisa kabla ya Kikwete kuchukuwa madaraka, baada ya miaka minne tu tukaona shule nyingi zaidi za Sekondari ni za Serikali kwa mara ya kwanza toka nchi hii iwepo na kabla ya kuwepo.
Nnampa kila pongezi na hongera kwa hilo na nna uhakika wengi wanamchukia kwa hilo, ni ukweli usiopingika idadi ya 83/17 itashuka kwa kiwango kikubwa tu, baada ya miaka 3 kuanzia sasa idadi hiyo itakuwa 60/40 wanaopenda wapende wasiopenda wasipende.
Ni ukweli usiopingika hata vyuo vikuu kwa sasa tunaona mabadiliko. Hongera Jakaya Mrisho Kikwete.

Anataka kupambana na kanisa Takatifu Katoliki?...... by the way kumbe ni huyo saburi ribosome ngoja nilale zangu.
Samahan wewe yaelekea unakaa mjini hlo ni moja,pili haujui kiundan changamoto zinazokabili hzo shule za Kikwete unazosifia "Kabla ya kuandika kusanya data ndio uandike sio uandike kupotosha"
Mfano kuna wilaya wakati nilienda wilaya moja kufanya utafiti wa hzo shule ya J.K nikakuta shule kwa zaid ya miaka 3 ina waalimu watatu wa masomo ya sanaa(Arts) sayansi na hesabu watoto hawajawah kufundishwa unategemea hao kidato cha nne watapata nin?huo ulikuwa ni mfano vp hzo shule hazina waalimu kabisa hasa wa masomo ya sayansi.
Uhaba wa nyumba za waalimu nalo ni tatizo sana,waalimu wanatembea zaid ya km 10 kwa siku kwenda kufundisha kutoka eneo analokaa ambalo angalau kapata kibanda chenye hadhi kidogo unategemea akifika shulen kachoka vipindi vingap ataamua aache,au anafika hapo shulen saa nne vipindi vya asubuh hajafundisha.Hapo ubora wa hzo shule uko wap?Maeneo mengine madarasa yamegeuka ndio nyumba za waalimu jem ungekuwa wewe ungefurah na kujituma?
Miundo mbinu ya kufundishia ndio hamna kabisa,kuna uhaba mkubwa sana wa vitabu vya wanafunz kutumia pia vya waalimu sasa watoto watapataje elimu nzur kwa hali hyo,mtoto anategemea notisi za mwalimu tu hapati sehemu za rejea(reference) zaid angalau apate zaidi mwanga.
Katika ulimwengu huu sayansi bila vitendo ni sawa na kupaka rangi upepo,shule hzo hazina maabara kabisa na zilizonazo ni zile za zaman au zilizopo mjini,mtoto anamaliza form four haijui testtube,microscope n.k,sasa hapa tunatengeneza kizazi kisichokuwa na wanasayansi na kwa mantiki hyo tusahau mapinduz ya viwanda.Kwa taarifa yako watan wetu Kenya ukiipata sera yao ya elimu na utekelezaji hasa ktk sayansi hatuji wakuta.
Mtoa mada naomba ujenge hoja katika hizo hoja zangu labda nitakuelewa.Ila ukwel utabak shule za madhehebu ya dini,binafsi zitaendelea kufanya vizur kwasababu vitu vyote tajwa hapo vinapatikana katika shule hizo hata kama ipo kijijini sana "nawakilisha"
Kwa kumbukumbu nilizonazo ni kuwa, Mazengo Secondary hapo zamani ikiitwa Alliance Secondary imerudishwa kwa kanisa la Anglican imekuwa St John University. Tuache ushabiki na tuongee ukweli, kwa mfano tulinganishe vilivyokuwa Chuo cha Tanesco Msamvu - Morogoro na iliyokuwa Amon Nsekela NBC College Iringa, zote zilichukuliwa na taasisi za dini katika almost wakati mmoja na kuwa vyuo vikuu, nashauri uvitembelee leo na utafakari maendeleo, kimoja kimedoraaaaaaa na kimoja kimepaaaaaa, kajioneee mwenyewe usingoje kuambiwa, mambo ni mwendo mdundo, kila mmoja mwelekeo wake!!!
Ungekuwa huna shule hao waalimu ungewapeleka wapi? ungekuwa huna shule ungejenga nyumba za waalim? ungekuwa huna shule ungeongeza wanafunzi? ungekuwa huna shule ungevunja monopoly? ungekuwa huna shule ungejenga vyoo?
Usishangae shule kutokuwa na vyoo, utamaduni wa vyoo kwa watu wa bara umeanza hivi karibuni tu. Wewe alikotoka babu yako kuna vyoo? Usijali, tutawafundisha taratibu utamaduni wa vyoo na utamaduni wa kutumia maji unapomaliza haja zako, muda si mrefu mtaanza kujenga vyoo na kuvitunza ipaswavyo.
Nilikuwa najiuliza nini chanzo cha matokeo ya sekondari kushuka kwa kasi ya sunami. Kumbe mojawapo ya sababu ni hizi za kujaribu kuwa mmiliki wakati zilizokuwapo mikononi mwa serikali wao wameshindwa kuziendesha. Lengo sio kuziendeleza basi kuna lengo lingine lililojificha!!! KUZIUA KABISA!!!!Kama kuna kitu kinachofanya nizidi kumpenda na kumthamini Kikwete na nna uhakika ni hicho-hicho kinamfanya azidi kuchukiwa na wengine ni pale alipoweza kuutafuna mfupa uliomshinda fisi.
Jakaya Mrisho Kikwete ameweza kuvunja monopoly ya mashule iliyokuwa ikihodhiwa na Makanisa. Shule nyingi sana za Secondary zilikuwa za Kanisa au ziko chini ya Kanisa kabla ya Kikwete kuchukuwa madaraka, baada ya miaka minne tu tukaona shule nyingi zaidi za Sekondari ni za Serikali kwa mara ya kwanza toka nchi hii iwepo na kabla ya kuwepo.
Nnampa kila pongezi na hongera kwa hilo na nna uhakika wengi wanamchukia kwa hilo, ni ukweli usiopingika idadi ya 83/17 itashuka kwa kiwango kikubwa tu, baada ya miaka 3 kuanzia sasa idadi hiyo itakuwa 60/40 wanaopenda wapende wasiopenda wasipende.
Ni ukweli usiopingika hata vyuo vikuu kwa sasa tunaona mabadiliko. Hongera Jakaya Mrisho Kikwete.
Hukulipenda jibu au msumari umeingia pasipo?
Kila siku huwa nasoma humu Jamvini kuna kundi linalojitapa kuwa la wasomi Tanzania swali langu hivi huo usomi wao umelisaidiaje taifa letu?
Minaki.
Sasa wewe ulitaka nikufagilie wewe? umefanya nini zaidi cha kufagiliwa? Kikwete kajenga shule za Sekondari zaidi ya 6000 katika kipindi chake cha miaka 6. Ni zaidi ya shule zote za Sekondari zilizokuwepo kabla ya yeye kuwa madarakani, Jee, ni dogo hilo?