Kwamfano shule gani?Kama kuna kitu kinachofanya nizidi kumpenda na kumthamini Kikwete na nna uhakika ni hicho-hicho kinamfanya azidi kuchukiwa na wengine ni pale alipoweza kuutafuna mfupa uliomshinda fisi.
Jakaya Mrisho Kikwete ameweza kuvunja monopoly ya mashule iliyokuwa ikihodhiwa na Makanisa. Shule nyingi sana za Secondary zilikuwa za Kanisa au ziko chini ya Kanisa kabla ya Kikwete kuchukuwa madaraka, baada ya miaka minne tu tukaona shule nyingi zaidi za Sekondari ni za Serikali kwa mara ya kwanza toka nchi hii iwepo na kabla ya kuwepo.
Nnampa kila pongezi na hongera kwa hilo na nna uhakika wengi wanamchukia kwa hilo, ni ukweli usiopingika idadi ya 83/17 itashuka kwa kiwango kikubwa tu, baada ya miaka 3 kuanzia sasa idadi hiyo itakuwa 60/40 wanaopenda wapende wasiopenda wasipende.
Ni ukweli usiopingika hata vyuo vikuu kwa sasa tunaona mabadiliko. Hongera Jakaya Mrisho Kikwete.
kwaio kikwete yupo kwa ajili ya kupambana na KANISA TAKATIFU??basi kama ni ivyo mwambie hasijaribu,nadhani ata we FF unajua hakuna aliyewai pambana na KANISA TAKATIFU akasalimika...
Kabla ujaenda mbali sana jiulize hizo shule wanaofaulu kwa kiwango kizuri ni akina nani muhamadans au Wakristo??
Minaki.
Kweli naona unajitahidi mkuu ribosome kupambanua mambo hebu rudisha kumbukumbu zako nyuma kidogo.. Unaifahamu shule iitwayo Forodhani sasa hivi inaitwaje?!!!!.... Ahaaa ngoja nikusaidie maana kichwa chako kimejaa matope sasa hivi inaitwa St. Joseph Millenium na matokeo yake ya form four unajua yalikuaje ehh..... huo ni mfano mdogo tu..
Sasa hivi kanisa liko katika harakati za kuirudisha shule ya Pugu iwe under control ya kanisa... got that ... na bado zingine zitarudi tuuu off my eyes.
Huyu Rib.... ni mtu anayetetea sana JK na watu wake, nadhani na chama pia. mkisoma posts zake mtaona, ni kama yumo humu kumfagilia JK kila mara,
kwa nini basi hauendi na kwenye magazeti na wasio na kutumia mtandao wakusome pia.
ulichoongea hapo juu hakieleweki.
Hukulipenda jibu au msumari umeingia pasipo?
Sasa wewe ulitaka nikufagilie wewe? umefanya nini zaidi cha kufagiliwa? Kikwete kajenga shule za Sekondari zaidi ya 6000 katika kipindi chake cha miaka 6. Ni zaidi ya shule zote za Sekondari zilizokuwepo kabla ya yeye kuwa madarakani, Jee, ni dogo hilo?
Umekubali umekataa?
Huyu Rib.... ni mtu anayetetea sana JK na watu wake, nadhani na chama pia. mkisoma posts zake mtaona, ni kama yumo humu kumfagilia JK kila mara,
kwa nini basi hauendi na kwenye magazeti na wasio na kutumia mtandao wakusome pia.
ulichoongea hapo juu hakieleweki.