hii kali , sasa walipo sajili hawakuweka physical address ya owner au ofisi zao zitakuwa wapi namba za simu, ? na je hawawezi tumia njia mbadala kumpata sema director/owner badala ya kuitafuta hiyo ofisi ambayo haipo? maana toka imeagizwa toka usa, mpaka imelipiwa kodi, na kuandikishwa lazima mwenye mali atakuwa anajulikana na zanzibar ilivyo ndogo hata nyumbani kwake watu watakuwa wanafahamu. ndio maana nikasema hapa ni mpaka vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vifanye kazi yake na kuundwa kwa tume ya bunge amasivyo atakuwa hapatikani kama yule mmiliki wa imalasekomMILIKI anajulikana ila hana ofice, so no where to trace the owner
Tunahtaji vitendo sio matamko
hii kali , sasa walipo sajili hawakuweka physical address ya owner au ofisi zao zitakuwa wapi namba za simu, ? na je hawawezi tumia njia mbadala kumpata sema director/owner badala ya kuitafuta hiyo ofisi ambayo haipo? maana toka imeagizwa toka usa, mpaka imelipiwa kodi, na kuandikishwa lazima mwenye mali atakuwa anajulikana na zanzibar ilivyo ndogo hata nyumbani kwake watu watakuwa wanafahamu. ndio maana nikasema hapa ni mpaka vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vifanye kazi yake na kuundwa kwa tume ya bunge amasivyo atakuwa hapatikani kama yule mmiliki wa imalaseko
Hivi SUMATRA wana mamlaka Zanzibar?
Hivi SUMATRA wana mamlaka Zanzibar?
huyu ni lazima amiri j. Mkuu wa kunyonga watu kwa meli. Yeye si ndiye aliyepenyeza muswada wa vitu chakavu kununuliwa na serkali. Sasa ni saa ngapi atachukua hatua ya kuzuia vitu chakavu kama yeye ndiye anaruhusu kisheria. Infact hamna haja ya matanga. Nikugopa na wananchi waandamane na kumuuliza ni kwa nini aliruhusu matumzi ya vitu chakavu kisheria?vipi yule mgeni wetu mama sirleaf ameshaondoka?
may my living lovely God.rest their soul in peace HUWA NAWASIKITIKIA WATOTO WADOGO SANA KATIKA AJALI KAMA HII HUWA WANAISHIA KUFA WAKIJIONA HIVI HIVI HAMNA BABA WALA MAMA KILA MTU ANAKIMBIA KIVYAKE OH MY GOD PLIZ REST THEM IN PEACE ,
hivi wamekufa wangapi? 12? 31?