Kikwete ateua Katibu Tume kurekebisha Sheria

armanisankara

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
283
49
Rais Jakaya Kikwete, amemteua Winfrida Beatrice Korosso, kuwa Katibu wa Tume ya Kurekebisha Sheria nchini.

Taarifa iliyotolewa jana jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, kupitia Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, ilisema uteuzi huo ulianza Agosti 14, mwaka huu.

Kabla ya uteuzi wake, Korosso alikuwa Mkurugenzi Msaidizi, Idara ya Mkurugenzi wa Mashitaka katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dar es Salaam.

CHANZO: NIPASHE

Tunaomba CV yake , yasije kuwa yale yale ya Fakih Jundu bila degree ya sheria, maana JK haeleweki!
 
uyu mama ni safi sana, ni boss wangu actually, zamani alikuwa anafanya kazi unicef, lakini kwasasa alikuwa msaidizi wa mkurugenzi wa mashitaka (DPP) pale sukari house. ni mwanasheria.
 
Tunashukur kama ni hivyo! Nchi hii haileweki hasa Bwana JK na nepotism to those who can not deliver
 
uyu mama ni safi sana, ni boss wangu actually, zamani alikuwa anafanya kazi unicef, lakini kwasasa alikuwa msaidizi wa mkurugenzi wa mashitaka (DPP) pale sukari house. ni mwanasheria.

Naunga mkono hoja!!!!
 
Back
Top Bottom