ketone
JF-Expert Member
- Jan 22, 2016
- 510
- 664
Rais mstafu Jakaya Kikwete atakumbukwa kwa mengi, mwezi wa saba kila mwaka wasomi waliajiriwa na watu walipanda madaraja. Sukari ilikuwa inauzwa 1800 mpaka 2000. Wanafunzi wapya wa vyuo vikuu walipata mkopo karibia wote tena mikopo minene. Madawa hospitalini yalipatikana. Mzunguko wa hela ulikuwa mkubwa kwa wafanyakazi na wafanya biashara.
MUNGU AMBARIKI HUYU BABA POPOTE ALIPO. AISHI MAISHA MAREFU YA AMANI NA FURAHA.
MUNGU AMBARIKI HUYU BABA POPOTE ALIPO. AISHI MAISHA MAREFU YA AMANI NA FURAHA.