Itakuwa kawapunguza kwa visasi au wivu? Au yamemkuta yaliyomkuta Moi kwa Ouko alivyokwenda USA kwani inasemekana Ouko alionekana kuwa aliqualify for Presidency na si Moi? Wewe kwa picha kama hii unategemea Obama atasemaje?
Itakuwa kawapunguza kwa visasi au wivu? Au yamemkuta yaliyomkuta Moi kwa Ouko alivyokwenda USA kwani inasemekana Ouko alionekana kuwa aliqualify for Presidency na si Moi? Wewe kwa picha kama hii unategemea Obama atasemaje?
Uomba omba mbaya kweli, Presidaaa wetu amekwenda na orodha ya mahitaji (karatasi ngapi sijui hapo) wakati mtoa posho wala ha-note tunachomuomba.
Wanamahesabu tutatoa statistical analysis ambayo itaonyesha kwamba wamepungua kwa asilimia gapi? Pia wasisahau kutueleza upunguzwaji wa idadi unaendana na kupugunzwa kwa gharama hizo. Je kiasi gani tuna save?Kabla ya idadi hiyo ya 34 zamamni walikuwa wangapi? Bila ya hiyo takwimu hatuwezi kujua wamewapunguza kwa kiasi gani
Wewe nawe hujui raisi ni tasisi kubwa nchini? Maraisi wote wanastahili ulinzi kama Obama.hapa hakijapungua kitu chochote. mwacheni ****** wa watu akatalii. ndicho alichokua anagombea. kwani huko aendako kunakua hakuna ulinzi adi aende na maofisa 34. kawa obama kwa umaarufu adi adhuriwe. si ajabu huko anakoendaga hata hakuna anayemfahamu, sasa walinzi mia wa nini. ukute wanaomuona ka raia tu wa uswazi kwa kule.
Waamerika watampenda Kikwete kwasababu ni light skin... Wanampenda kweli toka wakati wa George Bush ni Model wa Rais Mwislamu kuongoza Nchi half Christians half Muslims - Everywhere from State Department to the White House... He's a model...Itakuwa kawapunguza kwa visasi au wivu? Au yamemkuta yaliyomkuta Moi kwa Ouko alivyokwenda USA kwani inasemekana Ouko alionekana kuwa aliqualify for Presidency na si Moi? Wewe kwa picha kama hii unategemea Obama atasemaje?
Columbus na kina Vasco da Gama walifanya mambo makubwa ya uvumbuzi.Kikwete amevumbua nini?Huyo ndio Christopher columbus