Kikwete apewa kitabu, atakisoma?

Afanalek!!

Umeona enhh? Je ndiyo kusema jamaa anaanza kupungua?
Natamani ningeiona suruali rangi na ukubwa wake. Maana jamaa anapenda sifa za namna anavyooneka. Hata kama akivaa viatu "oversize" kama vile vya Msoga.
 

Labda ataangalia picha. kama ni ya wasanii labda ataisoma kwa vile kunayanayomfurahisha.
 
Hapa bwana annan nadhan kapoteza muda wake,angemuambia wapige picha tu sawa ila kusoma?mmh!!
 
Asome kitabu aache kuangalia viduku.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mbona unaongea maneno mpaka povu la Gego la mwisho linakutoka? JK yaonyesha anakuuma sana kwa utendaji wake ? Na kumbuka rais ni taasisi si mtu mmoja ukilijua Hilo povu lote litakuisha, teh teh teh
Sijui POVU umelionaje likimtoka kwenye mtandao!!
 
Ningekuwa mimi ni Koffi Annan, ningeweka ki-note kwenye chapter ya kwanza inayosomeka 'Please call me as soon as possible'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…