Kikwete anamfahamu Al Adawi!

Kwa sinema hii ambayo mimi naona ingefaa kuitwa 'Dowans and the fool Tanzanians' imenithibitishia kuwa matatizo yetu mengi ni ya kutengenezwa na viongozi wetu wasiokuwa waadilifu...wasiokuwa na nia ya dhati ya kutatua shida za wananchi bali zao, za familia zao na marafiki zao kwa njia ya ubabaishaji.
 

poromosha tafadhali. Asante lete ukweli
 
hahahahahahaha Je Kibonge alikuwepo kwenye mkutano? Mabomu na jamaa katua dah time muafaka!
 
Aaaggr! Mi hajaniingia akilini kabisa tangu nimenyaka habari zake.
Kama akili hatuna hata macho hayaoni!!!.
 
nimeamini sasa kweli mtanzania hadanganyiki hovyo hovyo.... watu wapo macho sana ... i love this kind of exciting inquisition and investigative analysis
 
Jamani unganisheni Mambo mpate uongo kirahisi!!!!!!!!!!!!!1
Ridhiwani alidakwa katika msafara wa kiserikali akienda Uarabuni [hiyo leak lazima inahisusisha wanaojiita interijensia maana lazima hivi sasa ndani mwao hawaelewani "kuna wenye uchungu na nchi na wale walonunuliwa na R.A]. Wiki mbili zimepita jamaa ameibuka na story ya umiliki. wakati huu anajiita yu peke yake! hataki kupigwa picha na waanandishi wanatii!!!!!!!!!1 Je tutafahamu vipi akuwazuia wasiseme kuwa yeye si mmiliki?!! kama alikiri mle ndani kuwa yeye si mmiliki halafu akawazuia waandishi wasiseme hayo!!!
JAMAA SIYO MMLIMIKI R.A KAKAMATA MWARABU MMOJA PALE KARIAKOO AU MBURUSHI MMOJA KAMFANYIA SCRUB, KAMVALISHA KANZU, KAITA WAANDISHI RAFIKI ZAKE NA JAMAA AKAPIGA KINUBI CHA UMILIKI!!
 
<p>
HII HAPA YA UKWELI KABISA..........</p>
<p>&nbsp;</p>
<p><img src="http://www.oeronline.com/php/2008_may/in_news1.jpg" border="0" alt="" />
</p>
<p>&nbsp;</p>
Ahsante Mkuu,
Kama picha hii ndo ya mmiliki wa Dowans, basi niliyemwona Movempick juzi baada ya kuongea na waandishi si huyu! AKAMATWE MARA MOJA!!!
 
Serikali ituambie kweli kuhusu uhalali wa huyu dowans, vinginevyo ikijakubainika kuwa alikuwa fake uhalali wa serikali kuendelea kuongoza utakuwa questionable
 

mpwa nilize mie ogopa hawa so called waandishi wa habar..tumekuwa na mikutano ya wafanyakazi na mabosi kulalamikia matumizi mabaaya..wakimaliza wanapewa bahasha ambayo zianfungwa na secretary wa bossi siku mmoja akamlalia ikawa mwisho wa habari wakati nyie mnaenda kusikiliza wao wamefungiwa alfu 40 kila mmojawalikuwa 15..usiulize wapi nakupa hao ndiowaandishiw a habaari usishangae akawaita tena kempnsiki wakaja na """"""kamera zetu zimeshindwa kabisa ukimpiga zinatoka kivuli cha giza""hao ndio waandishi
 
Mtemakuni, ni kwamba wanadai hata hao wahariri walichaguliwa wale ambao wangeendana na matakwa yao, sidhani kama angeenda side kubenea angeweza kubali kutoka bila picha. Watakuwa waliwaruhusu wale wa uhuru media tu!
 
waandishi tz wengi hawajui maadili ya kazi zao itakuwaje wasimpinge hata picha? aliyemuonyesha waadishi ni nani? na hao polisi wanao mruhusu kuingia wanawajibu wa kumkamata lasivyo hawako kwa masirahi ya taifa. na hao waliowasha mitambo nani amewaruhusu kuiwasha hiyo mitambo? na kama kesi iko mahakamani sheria inasemaje? kweli tz hakuna upungufu wa kufikiria wa kila nyanja kuanzia juu mpaka chini.
 

hahahahha ndo alizokataa mkuu hizi!
 

Hili ni changa la macho...JK alikiri mbele ya kadamnasi kwamba hamjui mmiliki wa dowans...na siku zote walisema hawamtambui mmiliki, na huyo mwarabu aliyekuja anadai kuwa mchongo wa dowans alipewa na rafiki yake wa miaka mingi Mr. Rostam, na dowans aliinunua kutoka richmond ambayo ilidaiwa kuwa kampuni hewa...swali linakuja je, kwa nini huyo fisadi rostam hakumtaja mmiliki siku zote? kwa hiyo kama huyo mwarabu ndiye mmiliki so anamfahamu mmiliki wa richmond...amtaje. Alafu lingine siku zote alikuwa wapi anajitokeza leo baada ya kuona wananchi wamekuwa wakali....TUTAMCHOMA MOTO...ARUDI KWAO UPESI
 
Sinema ya wakuu wa kaya in the making...hiyo ndio Tanzania ni zaidi ya uijuavyo. Ila habari njema ni kuwa watanzania wameamka, muda utawahukumu wakuu wa kaya. aibu aibu kuwadanganya wananchi mchana kweupe.
 
.

Froida, nadhani hapo umewaonea wahariri waliomsikiliza. Maelezo kwamba Al Adawi amekataa kupigwa picha za magazeti na televisheni ni muhimu sana kwetu, yametusaidia kujua kuwa mtu huyo si mwema kwetu na kutuongezea dukuduku la kujua zaidi kilichojificha ndani ya Dowans, kuliko kama Picha yake ingewekwa hadharani ikiambatana na maelezo yake ya kujifagilia na kujionyesha kuwa ana huruma na Tanzania...Huenda kuna watu wangeanimi. lakini sasa hakuna anayeamini tena kuwa mmiliki sio RA.
 
jamani hivi hawa mafisadi kwa nini wanatufanya sisi kama watoto wadogo. hii nchi mbona inakuwa ya kihuni hivi?. hivi RA atatuchezea akili zetu hadi lini?. kwa nini huyo mmiliki huyu adawi wa kupikwa hakufikia kwa rafiki yake RA ili waje siku ya kujitambulisha?
 


SAsa naelewa ni kwa nini dogo Roma anasema hataki siasa za kitoto wakati watu tunawahi kubalehe.....Jamaa sio mtanzania lakini anajua hadi kundi la waandishi wa habari wa kuwaita

Hii ni cooking ya kutisha...jamaa wanapika mpaka inajulikana wamepika...anyway, serikali ya wapishi, mpaka kwenye wlimu zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…