Mipunga inajiuza tu humu JF!Dah thread nyingine bwana, yaani kwa akili zako, Mtukufu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaweza kuogopa chama cha vilaza kama Chadema?.
.
"Ama kweli CHADEMA NI SAWA NA NG'OMBE ASIYE NA BEI SOKONI".
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimeendelea kuwa tishio kwa ccm baada ya Rais kikwete kuogopa kuteua mbunge kutoka ndani ya chama hicho. Je kwa kuogopa huko ni dalili ya chama hicho kuwatishio kwa ccm?.
Bunge lilopita aliteua Jusa kutoka cuf, na cuf walikuwa chama kikuu cha upinzani.
Najua raisi anaweza kuchagua kutoka chama chochote lakini kushindwa kuteua kutoka cdm nadhani amedhihirisha kuwa cdm ni chama chenye kutishia uwepo wa ccm.
Nawasilisha
Maoni haya ni ya mlala hoi!.
uchaguz wa meya wa Arusha mjini,wamebembelezwa kama mnahisi taratibu zimekiukwa nendeni mahakamani wamekataa! Lema akageuka Kibwetere kukesha viwanjani na kufunga mpaka Meya aondoke,!!
hakuna cha mtukufu hapa wote wazinguZi tu hasa wa ccmDah thread nyingine bwana, yaani kwa akili zako, Mtukufu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaweza kuogopa chama cha vilaza kama Chadema?.
.
"Ama kweli CHADEMA NI SAWA NA NG'OMBE ASIYE NA BEI SOKONI".
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
Wala hatutaki wabunge aina hiyoUpinzani sio uadui mkuu wala kupinga kila kitu!
Sasa kuna vyama tanganyika viongozi wake wanadhani kuwa mpinzani maana yake we uwe against na kila linalofanywa
na serikali hilo ndio tatizo la hao CDM, tofauti n vyama vingine ambavyo katika baadhi ya masuala yenye manufaa na
taifa wanakubaliana na serikali au wanatoa maoni yenye kuboresha CDM yenyewe imejengeka katika mfumo wa kupinga
tu.
Sasa katika hali hiyo usitegemee atokee mbunge wa kuteuliwa toka kwa hawa watu.
We ndo mshauri wa JK nini,naona mtazamo wenu mmoja,na mna ugonjwa wa M4CphobiaUpinzani sio uadui mkuu wala kupinga kila kitu!
Sasa kuna vyama tanganyika viongozi wake wanadhani kuwa mpinzani maana yake we uwe against na kila linalofanywa
na serikali hilo ndio tatizo la hao CDM, tofauti n vyama vingine ambavyo katika baadhi ya masuala yenye manufaa na
taifa wanakubaliana na serikali au wanatoa maoni yenye kuboresha CDM yenyewe imejengeka katika mfumo wa kupinga
tu.
Sasa katika hali hiyo usitegemee atokee mbunge wa kuteuliwa toka kwa hawa watu.
Upinzani sio uadui mkuu wala kupinga kila kitu!
Sasa kuna vyama tanganyika viongozi wake wanadhani kuwa mpinzani maana yake we uwe against na kila linalofanywa
na serikali hilo ndio tatizo la hao CDM, tofauti n vyama vingine ambavyo katika baadhi ya masuala yenye manufaa na
taifa wanakubaliana na serikali au wanatoa maoni yenye kuboresha CDM yenyewe imejengeka katika mfumo wa kupinga
tu.
Sasa katika hali hiyo usitegemee atokee mbunge wa kuteuliwa toka kwa hawa watu.
Kwa mtu mwenye independent mind hakuna kitu ndani ya administration ya CCM ambacho hakitakiwi kupingwa, CCM ina mfumo wa hovyo kabisa wa kuongoza, mfumo wa kutegemea wizi, rushwa, ufisadi, kujuana na kulindana.
Ni lipi hapo ambalo hutalipinga if you really are an independent brain
Songoro Umelewa wewe si bure!
Bwana Bangoo. Tanzania ukitaka kupewa cheo inabidi uwe kibaraka, mnafiki na mbabaishaji. Ukiwa mkweli na mchapa kazi huendi popote. Mifano ipo mingi ... angalia kina John Cheyo, Augustine Mrema, na James Mbatia nasikia ameteuliwa kuwa mbunge nk nk nk....