AMARIDONG JF-Expert Member Joined Jun 24, 2010 Posts 2,501 Reaction score 189 Feb 23, 2011 #1 Matusi,ubabe,utemi na ukamanda au umwana mapinduzi wa gadafi ni tafsiri mbaya kwa viongozi wabovu wa afrika kama kikwete anajidanganya na anawadanganya kina jk kwamba nguvu ya umaa si lolote. Jk anafikiria nini anapoyaona haya
Matusi,ubabe,utemi na ukamanda au umwana mapinduzi wa gadafi ni tafsiri mbaya kwa viongozi wabovu wa afrika kama kikwete anajidanganya na anawadanganya kina jk kwamba nguvu ya umaa si lolote. Jk anafikiria nini anapoyaona haya
Mpevu JF-Expert Member Joined Nov 23, 2010 Posts 1,803 Reaction score 179 Feb 23, 2011 #2 Thubutu, ujasiri?
I IPECACUANHA JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 3,230 Reaction score 1,925 Feb 23, 2011 #3 Wote ni makanali wa jeshi
PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,202 Reaction score 8,787 Feb 23, 2011 #4 Tangu lini jk akafikiri yeye?...kukitokea situation kama hiyo Bongo si anamconsult ROSTI-TAMU ili ampe mawazo?
Tangu lini jk akafikiri yeye?...kukitokea situation kama hiyo Bongo si anamconsult ROSTI-TAMU ili ampe mawazo?