Kikwete amtembelea Kingunge baada ya kuruhusiwa leo

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Rais Mstaafu, Dkt Jakaya Kikwete amemtembelea na mwanasiasa mkongwe Kingunge Ngombale Mwiru nyumbani kwake leo

Mzee huyo ameruhusiwa leo kutoka katika hospitali ya Taifa Muhimbili, baada ya kulazwa kwa takribani wiki moja na anatarajiwa kushiriki mazishi ya mkewe kesho

WhatsApp Image 2018-01-10 at 19.07.13.jpeg
 
Mbaya zaidi, wote hao kwenye picha ni wanaCCM!

CHADEMA wako wapi kwenye dhiki?

Mzee Kingunge aliwasaidia CHADEMA kupata kura zilizowawezesha kupata ruzuku zaidi.
Duhh!!, inaonyesha upo nyuma sana ktk kufuatilia taarifa za habari
 
Mzee Kingunge ndio Mzee mwenye msimamo aliyebaki Tanzania kwa sasa!!

Usilolijua ni Kama usiku wa Giza !


Hawa Wazee washamalizana na hata Siku ya Jumapili Dkt Jakaya alikuwa Muhimbili bila ya media alienda Taasisi ya Moyo ya Jk kutazmaa wale mapacha walioungana then akaenda kwa Kingunge na Jumamosi ya iliyopita ndipo uratibu wa tuliyoyaona ulifanyikia Muhimbili mpaka saa nne usiku kikiwa Kama kikao kisicho rasmi ambacho kikazaa mambo rasmi
 
Back
Top Bottom