nimeishi katika nchi mojawapo kwa miaka 4 sijasikia ujambazi au uporaji wamejitahidi kuweka usawa kimaisha,wenye mishahara mikubwa wanakodi kubwa sana
mfagizi wa ofisi na mtu anaekaa ofisini maisha yao hayana tofauti kubwa wanaishi standard life,,
hata chuoni unacha simu na laptop juu ya meza hakuna anaeiba sijawahi kuibiwa..
nchi kama marekani ujambazi ni mkubwa kwa sababu ya utofauti mkubwa wa kipato
nchi kaka Norway, denmark au sweden wizi utausikia kwa nadra sana........
sisi tanzania tofauti ni kubwa mno kati ya matajiri na maskini usitegemee wizi kuisha..
jiografia pia inachangia,,kila mtu kajenga kwake
Serikali ingechukua maeneo kama sinza,manzese,magomeni,msasani wakajenga flats wakapangisha kwa bei nzuri hata maskini angeweza kuishi,ukaribu unasaidia kupunguza ujambazi na maisha ya wananchi yakaboreshwa kama alivoahidi JK....fedha za gesi na utalii ziingizwe hazina,wananchi wapunguziwe kodi ya mishahara na bidhaa muhimu
ajilaumu mwenyewe hayo maisha bora kwa kila mtanzania yako wapi..
shwari