Jk usihuzunike sana, jibu unalo mwenyewe,
majambazi wanazidi kuongezeka kutokana na hali ngumu ya maisha
Kuibuka kwa makundi yenye nazo na maskini ndio chanzo.
hao waliowekeza fedha zetu uswizi na hizo fedha zinazonunua mavx zingeelekezwa kwenye huduma za msingi
kama afya na elimu na kuwawezesha vijana kujiajiri...
Tungeondoa utofauti mkubwa wa mishhara kila mtu akaishi maisha standard
na wale wasio na kazi wakawezeshwa mikopo na training za kilimo tungekuwa mbali
utofuati huu kama hautokoma tutazidi kuzalisha majambazi wengi zaidi
majambazi kawaibieni mafisadi tuachieni watu wetu wema
Kikwete ni Rais wa WATU...
hajasema hazina anachosema ni kwamba ujambazi unakithiri.Hivi una habari hata nchi zilizojuu kiuchumi zina majambazi?
vip hao majambaz walimuibia au walimjeruhi tu na kuondoka?
kikwete ni rais wa watu...