johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,600
duuh nakumbuka aliwahi kumtoa show DC wa Korogwe
mwaka jana kwenye ziara akisoma taarifa ya maendeleo ya Wilaya
Hadi ilibidi nifiche sura yangu.
So kupigwa chini kwa yule bwamdogo nilitegemea
mnh sijajua kwakweli, lakini mbona kampiga chiniSi mjombake yule!?
Kikwete anajua serikali yake dhaifu,zile siku 14 alizotoa stendi ya ubungo ihamishwe mbona mpaka leo hakuna kitu???
Sasa Mh Makonda amekemewa wapi hapo? Jamani tubadilike . Nyie timu mananihii nyie mna matatizo makubwa ya kufikiri. Kutwa kucha mnawaza urais tu. Subiri muone