Kikwete Amedanganya wananchi hawa

Bila ya kuingia msituni hakuna haki itakayopatikana. Naona maneno matupu hayazai kitu.

Temea mate chini! Mambo ya msituni yasikie hivi hivi tu na usiyaombe. Tuache mdhaha tuzidi kupigania kwa maneno makali na maandishi amani tuliyorithishwa na wahenga waliokuwa wakijali maisha na maslahi ya Taifa kwa ujumla.

Maneno yanaweza sana kuzaa matunda iwapo tutapata wanaojua/wenye vipaji vya kuhamasisha wananchi. Humu JF kuna watu wanaoandika vizuri mno na kama wanayoandika wanaweza kuyahamishia majukwaani, 'nyoka anaweza kutoka pangoni'. Mzee Mwanakijiji, Rev. Kishoka, FMEs, Mkandara, Mikael, Jasusi, Joka Kuu, Omarilyas, to name a few. Natamani hawa na wakereketwa wengine wote tunaolitakia taifa letu mema tungeunda kundi la uhamasishaji na utoaji wa elimu kwa raia mijini na vijijini ili wananchi waweze kutambua hali halisi na jinsi kundi la wachache wenye ubinafsi wanavyotupeleka kusikostahili.
 
Back
Top Bottom