Tanzania haki iko wapi? Tutaiendekeza CCM mpaka lini?
Najumuika Ulingoni kuwaonyesha link yenye video ya yaliyotokea mwaka 1996 huko Bulyanhulu wakati wananchi walivyoondelewa kwa nguvu bila huruma na uvunjaji wa haki, tena nchini kwao kumbuka serikali yao walioiweka madarakani ndiyo waliofanya vitendo hivi.
Pia Rais wao Jakaya Mrisho Kikwete amewadanganya wakati wa kampeni... nasema NAMCHUKIA kwasababu ni Mnafiki.
Hata faida inayopatikana na machimbo haya haiwafaidishi wananchi hawa ni kwa viongozi wachache ambao wanapenda kujinunulia magari ya kifahari. kuishi maisha ya kifahari, kujilipa mishahara minono, wenye sifa ya umimi na sio mimi na wewe na yule. Jamani tuwaonee huruma asilimia kubwa ya wananchi vijiji wanaoishi kwa maisha ya tabu.
Asante kwa waliotengeneza video hii kutuonyesha yaliyotokea huko. Mimi binafsi nimesikitika sana na imenigusa.
Asante
http://vimeo.com/7690704
Umenikumbusha hii site enzi hizo ilkuwa bomba kishenzi, hivi iliishia wapi ?.Video yenyewe ipo wapi?
Sie tulikuwa na hasira kuliko zako hizo kule Nyenzi.com mpaka BCS, ila tumepoa kwa sasa hatuna misimamo mikali. Tumegundua kuwa waTanzania ndo wajinga kukubali kudanganywa.
Asante mkuu
Video yenyewe ipo wapi?
Sie tulikuwa na hasira kuliko zako hizo kule Nyenzi.com mpaka BCS, ila tumepoa kwa sasa hatuna misimamo mikali. Tumegundua kuwa waTanzania ndo wajinga kukubali kudanganywa.
Asante mkuu
Picha na taarifa kama hizi husikitisha na kuhuzunisha sana, Mbali na ubadhirifu wa mali za Taifa uliojitokeza kwa Nguvu mno wakati wa uongozi wa Mkapa pia Wananchi wamepoteza maisha kwa sababu za kisiasa au za kujaribu kutetea baadhi ya haki zao, Vyombo vya dola vimeariwa kutumia nguvu ambazo zimesababisha vifo. Kama tunavyoona katika video hii, na kadhaa zimepita kama Pemba na Mwembe Chai. Uongozi wa Serekali iliyopo unaelekea umeshindwa kuchukua hatua zozote na Wanasheri wetu inaelekea wanaogopa kutia Kitumbua cha Mchanga. Kwa hali hiyo labda tujaribu kufungua Kesi nje ya nchi katika Mahakama za kimataifa ili kuongeza Presure/mbinyo kwa viongozi kuwa they can run, but they cant hide/Wanaweza kukimbia lakini hawawezi kujificha.Tanzania haki iko wapi? Tutaiendekeza CCM mpaka lini?
Najumuika Ulingoni kuwaonyesha link yenye video ya yaliyotokea mwaka 1996 huko Bulyanhulu wakati wananchi walivyoondelewa kwa nguvu bila huruma na uvunjaji wa haki, tena nchini kwao kumbuka serikali yao walioiweka madarakani ndiyo waliofanya vitendo hivi.
Pia Rais wao Jakaya Mrisho Kikwete amewadanganya wakati wa kampeni... nasema NAMCHUKIA kwasababu ni Mnafiki.
Hata faida inayopatikana na machimbo haya haiwafaidishi wananchi hawa ni kwa viongozi wachache ambao wanapenda kujinunulia magari ya kifahari. kuishi maisha ya kifahari, kujilipa mishahara minono, wenye sifa ya umimi na sio mimi na wewe na yule. Jamani tuwaonee huruma asilimia kubwa ya wananchi vijiji wanaoishi kwa maisha ya tabu.
Asante kwa waliotengeneza video hii kutuonyesha yaliyotokea huko. Mimi binafsi nimesikitika sana na imenigusa.
Asante
http://vimeo.com/7690704
Tanzania haki iko wapi? Tutaiendekeza CCM mpaka lini?
Najumuika Ulingoni kuwaonyesha link yenye video ya yaliyotokea mwaka 1996 huko Bulyanhulu wakati wananchi walivyoondelewa kwa nguvu bila huruma na uvunjaji wa haki, tena nchini kwao kumbuka serikali yao walioiweka madarakani ndiyo waliofanya vitendo hivi.
Pia Rais wao Jakaya Mrisho Kikwete amewadanganya wakati wa kampeni... nasema NAMCHUKIA kwasababu ni Mnafiki.
Hata faida inayopatikana na machimbo haya haiwafaidishi wananchi hawa ni kwa viongozi wachache ambao wanapenda kujinunulia magari ya kifahari. kuishi maisha ya kifahari, kujilipa mishahara minono, wenye sifa ya umimi na sio mimi na wewe na yule. Jamani tuwaonee huruma asilimia kubwa ya wananchi vijiji wanaoishi kwa maisha ya tabu.
Asante kwa waliotengeneza video hii kutuonyesha yaliyotokea huko. Mimi binafsi nimesikitika sana na imenigusa.
Asante
http://vimeo.com/7690704
Bila ya kuingia msituni hakuna haki itakayopatikana. Naona maneno matupu hayazai kitu.
Huko misituni mnataka kwenda kulina asali ama kutafuta kuni?Watanzania ni waoga sana... sijui kama swala la msituni litatokea
Nilisikia tetesi kuwa Che Nkapa ni shareholder katika kampuni ya dhahabu ya Kahama.
Baada ya kuangalia hii video naelewa kwa nini nguvu zilitumika chini ya utawala wake kuwafukuza wananchi hao.
Huko misituni mnataka kwenda kulina asali ama kutafuta kuni?
Acha kudhihaki watu bwana. Umeelewa fika kuwa wanasema nini. Mimi nadhani wewe u mmoja wa watu wanaolinda 'status quo' ya wanaodhalilisha wananchi.Huko misituni mnataka kwenda kulina asali ama kutafuta kuni?