Kikwete alichangia mramba kuangushwa rombo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete alichangia mramba kuangushwa rombo.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Andrew Kellei, Nov 4, 2010.

 1. Andrew Kellei

  Andrew Kellei JF Gold Member

  #1
  Nov 4, 2010
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 349
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Wana JF,kwa wale waliokua wanafuatilia kampeni za JK alipokua Rombo aliwaeleza kuwa Mramba ni panga la zamani lakini makali ni yaleyale(haliishi makali),hii kauli ilichukuliwa na Mgombea wa CHADEMA bwana Selasini kama ni kejeli kwa Warombo kwani akihutubia wakazi wa kilesi bwana Selasini aliwauliza wapiga kura kama kuna yeyote mwenye panga la babu yake nyumbani,katika mahojiano ikaonekana yale mapanga ya zamani(ya mababu)yamenolewa mpaka yameisha na kubaki mpini tu.
  Akasema Kikwete amewashangaa warombo kwa kumng'ang'ania Mramba ambaye ni panga la zamani lililokwisha nolewa na kubaki mpini,je rombo hamna mapanga mapya yenye makali zaidi?
  Hapo ndipo wapigakura walipoanza kumsikiliza Mramba kwa makini zaidi hasa alipokua anawakejeli kwamba ni afadhali kuzaa mtoto mwizi kuliko kuzaa mjinga(yeye ni mjanja kwa kuwa amefunguliwa kesi ya matumizi mabaya ya ofisi).Akasema kichwa chake ni kizuri na hakuna mrombo atakayeweza kuzaa mtoto awe waziri.
   
 2. b

  bob giza JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 265
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hehehehe nawapenda sana ndugu zangu warombo..rombo ni magenius, walimcheki mramba, wakamsikiliza kikwete wakasema ivi nyie mnatuona sie mapomole eehh, subirini..wakawaonyesha kazi..rombo ni mfano wa kuigwa..rombo mko juu ndugu zangu..na amani iwe kwenu na muendelee ivo ivo..sio kwa mramba tuu, sie tunataka maendeleo, yeyote asiyefaa mnamchinjia baharini..acheni walobweteka na umaskini wao kila leo wanadanganywa wanakubali...ROMBO JUUUUU!!!
   
 3. c

  chama JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2010
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 8,006
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mramba kajiangusha mwenyewe, pesa zote alizoiba alisahau kupeleka Rombo kuchangia maendeleo!
   
 4. Charles Mtekateka

  Charles Mtekateka Verified User

  #4
  Nov 4, 2010
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 310
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45  :A S angry::A S angry::A S angry: Hapo kwenye red, its shame !!!!!!!!!!
   
 5. dwight

  dwight JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kweli alishasema hayo,tukaamua kumpasulia mbali!
   
 6. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,437
  Likes Received: 1,019
  Trophy Points: 280
  Kikwete mmempa chati wenyewe sababundie aliyetajwa sana kuliko mtu yeyote na mnaendelea kumpa airtime
   
 7. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2010
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Jamani, watu wa Rombo wana hate-love relationship na ndugu Basil Mramba. Hata kabla siasa ya vyama vingi, Mramba alikuwa anashindwa ubunge wa Rombo na lakini baadaye wanamrudisha. Hivyo Kikwete kwenda kule sio sababu ya Mramba kushindwa.
   
Loading...