Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,358
Pole lakini wana JF walio makini watakujuza kupitia thread hii maoni yao.Nasikitika sijaiona hiyo habari nipo barabarani kutafuta pesa ili niweze ku-maintain heshima yangu mbele ya familia yangu maana kamshahara kangu kamechakachuliwa na mfumuko wa bei hivyo njia mbadala hazikwepeki
Sakata hili ni kubwa hivyo rais kusema kauli yake ilikuwa ni muhimu maana kuna madai kuwa yeye naye ana hisa katika hili na hata kama si kweli basi anawalinda marafiki zake ambao inaaminika walimwaga mabillion ya fedha ambazo ndizo zilizomuweka madarakani mkuu. Ukimya wake ulikuwa ni kama mtu asiyeelweka.rais kuongea maneno ya namna hii ni mpumbafu na ujinga wa hali ya juu...asifanye watu watoto hapa na majibu yake ya hovyohovyo...kwanza nani kamuuliza mpaka anaanza kufafanua ...stupid
Amekiri kuwa Richmond ni kampuni hewa na ndiyo maana alimtahadharisha Msabaha kuhusu kuwalipa Richmond down payment, ameonekana kuutambua mkataba wa Dowans kwa kusema tumetumia umeme wa Dowans miezi tisa na kuutambua ushindi wa Dowans dhidi ya Tanesco ila baada ya malalamiko mengi ameemua serikali isiipe fedha Tanesco ili kuona jinsi ya kuweza kuepa au kupunguza malipo hayo!Kama amekiri wazi kuwa Richmond/Dowans kampuni hewa, sasa basi Rostam Aziz, mbunge wake aliyehusika kuisimamia Kampuni hii feki kuchukua tenda, anamfanyaje???????????? Atueleze bayana hapo.
Sakata hili ni kubwa hivyo rais kusema kauli yake ilikuwa ni muhimu maana kuna madai kuwa yeye naye ana hisa katika hili na hata kama si kweli basi anawalinda marafiki zake ambao inaaminika walimwaga mabillion ya fedha ambazo ndizo zilizomuweka madarakani mkuu. Ukimya wake ulikuwa ni kama mtu asiyeelweka.
Mumuone kuwa ni msafi na hausiki na uchafu wa Dowans.Kwa hio kama hahusiki anataka tufanyeje?