Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Yatiwa hatiani Magufuli Azusha Hofu
Yaani unatuletea kipeperushi cha mwenyekiti wako wa chama ulitegemea ataandika nn?Yatiwa hatiani Magufuli Azusha Hofu
Kasome Huwaro hukoYaani unatuletea kipeperushi cha mwenyekiti wako wa chama ulitegemea ataandika nn?
Kani bika figisu figisu ambazo dunia inajus ulitegemea nini?Kabla ya Uchaguzi habari kuu kwny vipeperushi vya Mbowe ilikuwa "Ccm kufia Mikononi kwa Jk"
Uhuru Kenyata aliwahi kusema 'gazeti ni ya kufungia nyama' !
Hili siyo yale yenu yavitumbuaUhuru Kenyata aliwahi kusema 'gazeti ni ya kufungia nyama' !
Naona alikuwa akimaanisha kama hili la Mheshimiwa Mwenyekiti !
Ulifikiri ni lile lenu Huwaro?Ha ha ha ha ha ah kumbe ni hili gazeti lol.
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha bwah bwah bwa bwhah Asante kwa kunisoma.Ulifikiri ni lile lenu Huwaro?
kweli kuna tatizo, badala ya kuandika habari ya bethidei ya mama bawacha
Kwahiyo unakiri magazeti yenu ni Huwaro?Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha bwah bwah bwa bwhah Asante kwa kunisoma.
Dunia inatazama.ukurunzinza wa chama cha MachafukoNaona mwanahabari huru umeamua kuwapunguzia stress vijana wa Lumumba huku.Kule kwenye uchaguzi wa CCM Zbar hawapo kabisa. Hata wao nafikiri wanaona magumashi!
Sasa tanzania inafia mikononi mwa CCMKabla ya Uchaguzi habari kuu kwny vipeperushi vya Mbowe ilikuwa "Ccm kufia Mikononi kwa Jk"
Tunatazama waliotumia rasilimali za nchi ndio sivyokweli kuna tatizo, badala ya kuandika habari ya bethidei ya mama bawacha