Mbona ghafla, kutoka shopping za Mississippi,Michigan,London,Dubai na Shanghai mpaka mlimani city? Duh, hapo ni wiki mbili tu, naona mwezi mtukufu tutakutana pale Tandale kusaka futali!
Lowassa, Sumaye,Slaa na Mbowe hawa wote wanatokea eneo moja na wameshawahi kupambana na Jk kwa nyakati fulani kwny Mbio za Urais na wote wameona "udhaifu" wake!!
Nafikiri amemaliza muda wake, tumemlaumu sana sasa yuko Uraiani
tumuache apumzike, maana kupumzika ni pamoja na kuachana na lawama
nzito za kiuongozi ambazo zilimuelemea
Lazima alaumiwe, kwa sababu bado anaendelea kutu cost, Mwinyi ana gari moja tu, hatembelei msafara wa magari manne, piki piki na personel ya watu kumi kwenye payroll ya serikali.
Na safari zake za Msoga-Dar kila siku zinaongeza foleni, zinatu cost kiuchumi big time. Kama anajifanya raia wa kawaida agande kwenye foleni na yeye basi.