Cha ajabu ni nini hapa? Ndiyo uzuri wa Tanzania, kamaliza muda wake ni raia huru anaingia madukani kama watanzania wengine wa kawaida! Kwa nini tusijisifu?
si mlisema ana hela sana?atakosa milioni kumi za kwenda nje?
Jk kabla hajawa rais alikua mtu wa kujimix,
afterall marais wastaafu wana idadi ya safari za kwenda nje zinazolipwa na serikali,zaidi ya hapo hata yeye hashindi kujigharamia
Mbona ghafla, kutoka shopping za Mississippi,Michigan,London,Dubai na Shanghai mpaka mlimani city? Duh, hapo ni wiki mbili tu, naona mwezi mtukufu tutakutana pale Tandale kusaka futali!
Ina maana hamna anayeona kua hiyo picha imefanyiwa editing??
Aliye-edit ajipange vizuri, bado bado kidogo.. Alafu vitu kama hivo ndo sheria za mtandaoni zikisema zinakufunga ni sekunde mbili tu sababu its obvious kua ni upotoshaji.. basi tu wanawapotezea
Huo ndio ukweli, anaogopa kusahaulika mapema, leo nimeona amerekodi kwenye tv akihamasisha watu wajitokeze uwanja wa taifa kushangilia timu yetu,.kwa kifupi TFF wamefanya nisiende huko taifa