Nilisema ukiingia kwenye huu mjadala utaleta sura mpya, bora wewe! bora, bora ......, bora mtu wangu
Mkuu bora uwe shabiki, usisahau kutoa mchango kwa njia ya SIMU ila usiwasogelee karibu! wana kiongozi wa chadema mpaka 2015, 2020, 2035, mpaka 2050.
Strategy yako nzuri kabisa, fedha za michango zitasaidia kwenye kampeni, operation sangara na ziada watatumia kumlipa Mbowe!
si unajua mbowe anakidai chama, hili unataarifa nalo?
No matusi ni kama yale uliyomwaga hapa dhidi ya wachaga na watu wa mikoa ya kaskazini. Unayakumbuka? Yale ndiyo matusi..... haya mengine ni ya kawaida tu.
utakumbukaje kisichokuwepo?? kama matusi yaliwekwa humu ebu tafuta yaweke hapa!! kwani wewe mwafrika ukiambiwa rangi yako ni nyeusi ni tusi?
yaa, itakuwa bora kuliko ile ya kujaribu kula pande zote mbili! how 'bout that!
ha a ha ha,
mkuu sasa unataka kufanya watu kaa watoto. Yaani kwa logic yako, kazi zilikubana ndio ukaomba kufungiwa?!
Kazi zikibana watu, wanapotea hapa (ili kuendeleza kazi zao) na kisha wanarudi wakimaliza. Nakumbuka hiyo thread yako ya kuomba kufungiwa ila wewe na mimi wote tunajua kabisa kilichokuwa kinaendelea behind the scene.
Au unataka nimwage kuku wengi kwenye mchele opppsss ...?
kwa sababu unajua kuwa matusi yanafutwa na mods .... invisible angekuwa na muda wa bure... angeingia kwenye maboksi ya JF na kuleta posts zako zote zilizofutwa ili kuonesha rants na chuki zako dhidi ya wachaga.
kwa hiyo unanipa upande gani na kwa hiyo nafasi ya huo upande utakaonipa unaniruhusu kuikosoa chadema? au wanaotakiwa kuikosoa chadema lazima wawe ndani ya chadema au wanachadema na wote walio nje ya chadema hawaruhusiwi kukikosoa chadema.
So you are about to give me full authorisation ya kukikosoa chadema kwa sababu ya chama utakachonipa?
unachekesha kweli.
kazi zangu ni za kwenye internet, hivyo lazima niangalie jf kwa vyovyote vile, sasa nikikutana na mwafrika lazima nitajibishana naye tu ,teh teh teh teh.
wewe kweli, duu mwaga huo mtama hata ikiwezekana mwaga ulezi pia, unafikiri nasituka kama unavyosituka ikiguswa chadema. teh teh teh teh
elezea kilichokuwa kinaendelea nyuma ya scene.teh teh teh, kazi kweli kweli.
Kitu ninachojiuliza bila jibu nini kinasababisha mtu kuwa na id zaidi ya moja? je ni kwasababu wa msemo wa nyani ama nini hasa.Wewe unaonapendekeza nini ktk hilo?
aha!! wewe mchaga?
hayo unayasema wewe.... kinachofanyika hapa ni kukufunua na kuanika unafiki wako ili wasomaji wakujue (chaga hater) jinsi ulivyo.
Kwani ni lini umezuiwa kuikosoa chadema? mbona unajiabisha? au ndio mwanzo wa vilio unataka kuanza? kinachofanyayika hapa (again) ni kukufunua ulivyo na wala sio tofauti na hapo.
Mbona unang'ang'ania kusema wasomaji wanijue, nimeshasema mimi mnafiki, kwa maelezo yako , na wasomaji wanajua mimi mnafiki.
Naomba nipe nafasi ya kuikosoa chadema kesho na keshokutwa kwa sababu ya title ya unafiki , je uko tayari ? kuwa kila nitakapoikosoa chadema ijulikane mimi ni mnafiki??
yale yaleeeee
jibu swali wewe ni mchaga au ni mtanzania asiyependa ukabila? sikumbuki ni lini niliwatukana wachaga, ila mwenzangu unakumbuka nataka nijue kama wewe ni mmoja wao niombea msamaha ili usibaki nalo moyoni.
je wewe mchaga?
Hujawahi kuzuiwa "kuikosoa chadema" as far as I know.
Yup, wasomaji watazidi kukumbushwa over and over again hadi kiyama
ha ha ha funny (sic) eti hee
ha ha ha
Umeanza defence kwa sababu unajua kinachokuja? kuwa ukweli ni kuwa id ya mkamap ndiyo ilifungiwa ila mambo mengine yalikuwa kama kawa? swali la kuanza hapa ni kuwa ... kwa nini?
Unataka nikuambie kuwa mimi mchaga kisha uanze matusi. Watu kama wewe wenye chuki za kikabila zilizokubuhu hamfai kabisa kujua makabila ya watu.
Sidhani kama ni mamluki wa Chadema mamluki huwa hawafanyi hivyo kazi yao ni kuleta migogoro ndani ya vyama walivyotumwa (Marando) lakini si kuvuruga chama kilichowatuma mfano kama wewe ni mwanajeshi umetumwa kwenda nchi ya jirani kujiunga na jeshi lao kiupelelezi lakini unapojiunga nao nakuja kumuua kamanda wa nchi yako utakuwa bado mpelelezi wa kweli ni sawa na kudai wewe ni Chadema still unasema Chadema hakifai dhaifu Mbowe hafai Zitto anakivuruga bila kuja na solutionDuu ktk nyeusi hapo, duuuuu
na mimi je? mbona mie mamuluki wa chadema nikijidai ni ccm.ama vipi?
nilitaka nikuombe msamaha maana inaonekana una kinyongo sana na hilo swala.
kwa hiyo chadema inahusiana vipi na wachaga , maana tulikuwa tunaongelea chadema!
kwa kukusaidia zaidi
click hapa angalia tarehe ,harafu tafuta post ktk siku za hapo matusi yalitokea wapi.
https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/47212-mods-ama-ivisible.html
teh teh teh teh teh
kwa hiyo yani umeona kabisa ukisema nilifungiwa sababu ya matusi ndo utatoka,teh teh hii inanikumbusha nyimbo ya bwana misosi nitoke vipi?