Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,883
- 2,763
utakuta ni mambo ya mamvi hayo, duh! pole rais wetu
The president overreacted. There was no reason for the 'commotion'. Coming to think about it, what took place at the State House is a clear indication that the President is frustrated. Why is he frustrated at this point of time is a question that needs to be discussed:
Elections are around the corner. He made a hundred if not a thousand promises to ameliorate the lives of wananchi and he hasn't been able to deliver. He knows that he will have to face anxious and aggitated voters who voted for him in confidence believing in him. What is he going to tell them this time? And with the ufisadi pollution he indeed has reason to be frustrated.
Watch out State House officials and wake up from your laxity or else you might loose your jobs. A frustrated President is not predictable!!
kwani kulikuwa na ulazima gani wa yeye kwenda kutoa hiyo misaada ya magari mawili? Inakuwaje Rais anatoka Ofisini kwake kwenye kwenye hafla ambapo wanaotakiwa kuwepo walikuwa hawapo!? something is wrong..
Yaani, hadi Rais anatoka ofisini na kwenda pale yuko tayari kutoa misaada hakuna aliyegundua tatizo. Ndiyo maana tukasema mambo ya mpira awaachie kina Bendera, ya kutoa misaada awaachie kina Mnakulu Mkuu ?? au Katibu Mkuu.. afanye mambo ya msingi.. siku nyingine atatembea nje usiku wa manane huku walinzi wakimsindikiza tu kumbe mwenzao anaota!
Sasa me nashindwa kuelewa IKULU utendaji wake wa kazi ni upi? na ni akina nani ni watendaji wakuuu muhumu ndani ya IKULU ambao kweli pakitoke madudu wawajibishweeee?? non zero