Kikwete Afichua Kipigo cha Lipumba

Kikwete Afichua Kipigo cha Lipumba

Viroba vinakusumbua wewe si bure! Tunajua kuwa Kamuhanda alipanda Cheo baada ya kumwaga Utumbo wa Daudi Mwangosi hadharani!! Mmeendelea Kuua Pemba, Zanzibar, Morogoro, Arusha, Igunga, Tarime, Morogoro, Dar nk... JK aangalie sana maana ICC inamsubiria kwa ujinga wa vidampa wa CCM kama wewe na wenzio ...
Kikwete akitoa mrejesho kwa polisi amesema anawapa hongera sn."hatuwezi kuvumilia watu kuvunja sheria za nchi". amenukuliwana magazeti ya Leo
my take
Lipumba ikulu unaenda kufata nn? umeshajibiwa labda km unataka statehouse juice and delicious lunch.
 
Hivi mkono wa sheria ni kutoa kipigo?
 
Ngoja JK amalize muda wake, UKAWA tuchukue nchi halafu tumuachie babu seya aendelee kuwapa Watanzania raha kwa nyimbo zake ukiwamo wa Salima
 
Hilo tulilitegemea kutoka magogoni tusubiri watu kupanda vyeo
 
Kwanini Kila anayetaka kwenda ikulu munadhani anaenda kunywa juice... . Nyie vijana wa Lumumba mumezoea kufanya kazi kwa ajili ya matumbo Sasa Kila mtu munadhani yupo kama nyie.
 
Kikwete akitoa mrejesho kwa polisi amesema anawapa hongera sn."hatuwezi kuvumilia watu kuvunja sheria za nchi". amenukuliwana magazeti ya Leo
my take
Lipumba ikulu unaenda kufata nn? umeshajibiwa labda km unataka statehouse juice and delicious lunch.

Kutoka kuwa Kahaba was Siasa za ACT mpaka kuwa Malaya wa ki siasa was ma Gamba.
Mwaka huu utahemewa sana we we kisogoni
 
Rekebisha kichwa cha habari. Halafu wewe endelea tu kuwa unachangia! Mada waachie wenye uwezo wa kuchambua mambo!
 
Unaogopa kejeli na matusi wakati wewe mwenyewe umeleta kejeli! Unaogopa kuwa mjamzito wakati unaendekeza ngono zembe!

Eti hutaki kejeli na matusi wakati unaandika upuuzi kwa sababu umekalia kitu kizito unahangaika nacho kuchomoa kimenasa!

Umefilisika wewe na ukoo wako wote kwa ajili ya kutumikia chama cha majizi.
 
Lipumba hajawahi kuwa mwanasiasa mwenye mafanikio hata siku moja kwanza siasa hajui kabisa yule anafaa kufuga nyuki au kulima tumbaku.
 
Unaogopa kejeli na matusi wakati wewe mwenyewe umeleta kejeli! Unaogopa kuwa mjamzito wakati unaendekeza ngono zembe!

Eti hutaki kejeli na matusi wakati unaandika upuuzi kwa sababu umekalia kitu kizito unahangaika nacho kuchomoa kimenasa!

Umefilisika wewe na ukoo wako wote kwa ajili ya kutumikia chama cha majizi.
Halafu tangu uingie kwenye hizo ngono zako sasa unadhani kila mtu yupo kwenye mtandao wa ngono kama wewe.
 
Wana JF, naomba mnisaidie hili, Prof. Lipumba kulazimisha kufanya maadhimisho haramu, Polisi kanda maalumu waliyakataa tena mbele ya viongozi wa CUF, Pia Polisi Temeke hakuna barua iliyoandikwa, halafu Prof. akaamua kwenda kuazimisha, alipodjibitiwa akaamua kuwatumia wafuasivwake kama chambo ili kupata sifa ya kisiasa, je hii ni tabia sahihi inayofaa kufanywa na mtu kama Lipumba? Je ndiyo kuporomoka kisiasa? Naomba majibu badala ya matusi na kejeli.
Kale wembe kila waulize wazazi wako.
 
Nonsense!!!!
 
Hicho ni kiburi tu cha CCM kwa kulewa madaraka ............................. huko Kenya enzi za Kenyata kuna askari wa Kikuyu aliwahi kumpiga Moi bakora kwenye road block tena wakati akiwa makamu wa Rais. Imagine, nothing happened to him!! Baada ya Moi kuupata Urais jamaa ilibidi aachie ngazi mwenyewe .....................!!! There is always a payback time!!

Aaaah. Kuna payback lini mwanangu? Ila msisahau kujiandikisha kwenye daftari ladumu la kupiga kura. Hamkawihi Kusema taarifa zimechelewa
 
Back
Top Bottom