Naungana nawe T. 2015 kuwa Siyoi sio chaguo sahihi kwa sasa kwaajili ya Arumeru Mashariki,Siyoi hawezi kuwa mgombea sahihi kwa CCM ya sasa, hebu tungoje!
There is a very highly classified conspirancy going on between JK and Lowassa. Ni vigumu sana kugundua katika hali ya kawaida, lakini ukweli ni kwamba JK is backing-up Lowassa in a very sophisticated way. Baada ya uchaguzi wa 2010 JK anajua wazi kuwa watanzania kwa asilimia kubwa wamemchoka, slogan zake hali mpya na nguvu mpya zilikuwa sanaa. Njia pekee anayoweza kumjenga Lowassa mpaka sasa ni kuonyesha hamtaki hata kidogo kwani anajua wazi kuwa watu wengi kwa kuwa wamemchoka watakuwa wanacounter attack maoni yake then watakuwa wakiwapenda wapinzani wake. Na kwa hii move jamaa wameanza kwa kucheza na flow vizuri mno. Hiyo ni michezo ya siasa tu, watu wanavyosema hawakukutana barabarani wana maana yao. Tega sikio 2015

Nimeshangaa jinsi vyombo vya habari vilivyo komalia habari za rushwa Arumeru. wanasema wamekamata watuhumiwa wa rushwa waliokuwa na nia ya sioi ashinde. Hii ndo moja ya sababu ya kumukata kama wana nia ya kumtoa. hakuna kinacho shindikana. Sioi asishangilie sana kwani hajavuka mto.
Sakata linaendelea hata hivyo naamini ccm watatumia busara kuweka mgombea atakayeleta ushindi.
Naungana nawe T. 2015 kuwa Siyoi sio chaguo sahihi kwa sasa kwaajili ya Arumeru Mashariki,
HASA kama kuna mkono wa Lowasa nyuma yake.
Hivi msiba wa babake Siyoi wamemaliza matanga kweli? Inakuwaje leo yupo kwenye malumbano ya siasa wakati ndo majuzi tu tulikuwa na msiba wa babake. Kwani lazima Mbunge wa Arumeru Mashariki atoke kwenye familia yao?
Ndo maana nasema, kwa hili la msiba majuzi tu, na kama mkono wa Lowasa upo nyuma yake, Siyoi hafai kuwa mbunge wa Arumeru Mashariki kwa sasa. Atulie kwanza, muda bado upo.
Ni kwa sababu hiyo pia wenye akili wanaona Lowasa hafai kuwa Rais wa nchi hii, pamoja na kuanza kampeni ya chini kwa chini kupitia makanisani...
Sasa naanza kuona kuwa LOWASA ni mtu hatari sana... Najiuliza kwanini anautafuta URAIS kwa nguvu namna hii?
Hata kama bado hajatangaza nia hiyo...?
Wa kupinga hili apinge, lakini huhitaji kusoma mistari tu, ili uelewe ujumbe, bali hata katikati ya mistari...
There is a very highly classified conspirancy going on between JK and Lowassa. Ni vigumu sana kugundua katika hali ya kawaida, lakini ukweli ni kwamba JK is backing-up Lowassa in a very sophisticated way. Baada ya uchaguzi wa 2010 JK anajua wazi kuwa watanzania kwa asilimia kubwa wamemchoka, slogan zake hali mpya na nguvu mpya zilikuwa sanaa. Njia pekee anayoweza kumjenga Lowassa mpaka sasa ni kuonyesha hamtaki hata kidogo kwani anajua wazi kuwa watu wengi kwa kuwa wamemchoka watakuwa wanacounter attack maoni yake then watakuwa wakiwapenda wapinzani wake. Na kwa hii move jamaa wameanza kwa kucheza na flow vizuri mno. Hiyo ni michezo ya siasa tu, watu wanavyosema hawakukutana barabarani wana maana yao. Tega sikio 2015
100% nakubaliana na wewe manake kuna picha ya kihindi inachezwa na hawa maswahiba wawili watu hawajajua. Mtu wakuja kumlinda JK asibuguthiwe ni Lowasa peke yake. Nilishangaa pale JK alipowagomea CCM kumfukuza Lowasa kwenye chama. Hapa wanakitu wanafanya chini kwa chini.
Naungana nawe T. 2015 kuwa Siyoi sio chaguo sahihi kwa sasa kwaajili ya Arumeru Mashariki,
HASA kama kuna mkono wa Lowasa nyuma yake.
Hivi msiba wa babake Siyoi wamemaliza matanga kweli? Inakuwaje leo yupo kwenye malumbano ya siasa wakati ndo majuzi tu tulikuwa na msiba wa babake. Kwani lazima Mbunge wa Arumeru Mashariki atoke kwenye familia yao?
Ndo maana nasema, kwa hili la msiba majuzi tu, na kama mkono wa Lowasa upo nyuma yake, Siyoi hafai kuwa mbunge wa Arumeru Mashariki kwa sasa. Atulie kwanza, muda bado upo.
Ni kwa sababu hiyo pia wenye akili wanaona Lowasa hafai kuwa Rais wa nchi hii, pamoja na kuanza kampeni ya chini kwa chini kupitia makanisani...
Sasa naanza kuona kuwa LOWASA ni mtu hatari sana... Najiuliza kwanini anautafuta URAIS kwa nguvu namna hii?
Hata kama bado hajatangaza nia hiyo...?
Wa kupinga hili apinge, lakini huhitaji kusoma mistari tu, ili uelewe ujumbe, bali hata katikati ya mistari...
Hadithi hii kakufundisha nani? Na kakwambia ina maana gani?There is a very highly classified conspirancy going on between JK and Lowassa. Ni vigumu sana kugundua katika hali ya kawaida, lakini ukweli ni kwamba JK is backing-up Lowassa in a very sophisticated way. Baada ya uchaguzi wa 2010 JK anajua wazi kuwa watanzania kwa asilimia kubwa wamemchoka, slogan zake hali mpya na nguvu mpya zilikuwa sanaa. Njia pekee anayoweza kumjenga Lowassa mpaka sasa ni kuonyesha hamtaki hata kidogo kwani anajua wazi kuwa watu wengi kwa kuwa wamemchoka watakuwa wanacounter attack maoni yake then watakuwa wakiwapenda wapinzani wake. Na kwa hii move jamaa wameanza kwa kucheza na flow vizuri mno. Hiyo ni michezo ya siasa tu, watu wanavyosema hawakukutana barabarani wana maana yao. Tega sikio 2015
Huyo mtoto ana hela wampe nafasi kwa vile kuwa na hela ndiyo sera ya CCM. Acha tule hela za lowassa ati
belive me, kikwete hawezi kufikiria kama unavofikiria,wale wanachuki za kweli.